• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 9:50 AM

AKILIMALI: Amekitegemea kilimo cha mboga na nyanya kimapato kwa miaka kadhaa

Na PHYLLIS MUSASIA KIJIJI cha Kipsoni, Moiben, Kaunti ya Uasin Gishu si tofauti na maeneo mengine nchini. Wakazi wengi wa hapa...

“Nimezoea maisha ya kafyu, biashara si mbaya vile’

Na GEOFFREY ANENE KAFYU inayolenga kuzuia uenezaji wa virusi vya corona imeathiri vibaya sekta nyingi za maisha kote duniani. Huku...

KILIMO CHA MBOGA: Brokoli ni aina za mboga zenye faida tele kiafya na kimapato

NA SAMMY WAWERU BROKOLI ni aina za mboga kama kabichi na ambazo huchanua maua yanayoliwa. Ingawa hulka zake zinawiana na za kabichi,...

KILIMO CHA MBOGA: Shule inavyojitosheleza kwa aina zote za vyakula kupitia kwa kilimo

Na PETER CHANGTOEK TAKRIBANI mita 700 kutoka mjini Chuka, ndipo ilipo Shule ya Upili ya Wavulana ya Chuka. Shule hii imejengwa katika...

Jinsi mboga aina ya spinachi zinavyompa mkulima faida

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa zaidi ya miaka 20 mfululizo, Bw Charles Mwangi amekuwa akikuza mboga aina ya spinachi katika eneo la...

KILIMO NA UCHUMI: Mateso aliyopata mjini yalimfanya arejee kijijini anakovumishia kilimo cha mboga sasa

Na GRACE KARANJA KWA wakati mmoja, Monicah Muthoni alifikiri kuwa kusaka kazi mijini kungemfaidi lakini rafiki yake alimwonya kwamba...

UFUGAJI: Mboga za kijani ni muhimu katika kuwapa kuku madini ya Vitamini

Na SAMMY WAWERU UKIZURU yumkini katika kila boma, hasa mashambani kuna mifugo na ndege wa nyumbani ambao hutakosa kuwaona. Nao ni...

Mboga za tangu na tangu zina umuhimu mkubwa kiafya

Na SAMMY WAWERU CHAKULA asilia ni mazao yaliyokuzwa kwa kuzingatia mfumo wa kilimohai. Aidha, huu ni mfumo ambapo mazao yanazalishwa...

AKILIMALI: St Claire inavyohusisha wanafunzi katika kilimo kinachookoa gharama

Na RICHARD MAOSI TAKRIBAN kilomita mbili kutoka mjini Naivasha tunakumbana na wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya St Claire of Assisi...

UKUZAJI MBOGA: Maarifa yanayohitajika katika kukuza kabichi zenye faida kwa mkulima

Na GRACE KARANJA KABICHI hukuzwa na wakulima wa ngazi zote; wakulima wadogowadogo pamoja na wale wanaolima katika mashamba...

UKUZAJI MBOGA: Mama anayefanya makuu kwa kukuza mboga za aina mbalimbali

Na CHRIS ADUNGO KAZI ya ukulima imempa Bi Mary Gichui ajira tosha inayomwezesha sasa kujisimamia na kukimu mengi ya mahitaji yake na ya...

SIHA NA LISHE: Vyakula vinavyoimarisha uwezo wa kuona

Na MARGARET MAINA [email protected] KULA vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu. Kando na karoti, kuna...