• Nairobi
  • Last Updated May 15th, 2024 8:55 PM

MWALIMU WA WIKI: Ni mwalimu, mtahini, mwandishi na mhariri

Na CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kutawaliwa na upendo wa dhati kwa taaluma, mwalimu bora anatakiwa kuchangamkia masuala yanayohusiana na...

MWALIMU WA WIKI: Mwandishi stadi na mlezi wa vipaji

Na CHRIS ADUNGO INGAWA wanafunzi wa madarasa ya chini huelewa mambo wanayofundishwa kwa wepesi, uwezo wao wa kumudu masomo...

MWALIMU WA WIKI: Anatumia nyimbo kufunzia darasani

Na CHRIS ADUNGO KUSOMA kwingi, kufanya utafiti wa kina na kuwauliza wajuao ni mazoea ambayo humjenga mwalimu kitaaluma. Haya ni kwa...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu, mshairi na mlezi wa vipaji

Na CHRIS ADUNGO KUFAULU kwa mwanafunzi yeyote hutegemea pakubwa mtazamo wa mwalimu wake. Mwalimu hana budi kuwa na mtazamo chanya...

MWALIMU WA WIKI: Okwalo ni mtunzi na mwalimu stadi

Na CHRIS ADUNGO JOHN Okwalo Wambani alianza kuvutiwa na ualimu akiwa mtoto mdogo. “Walimu walikuwa watu wa kustahiwa katika jamii...

MWALIMU WA WIKI: Nicholas Kilonzo, mwalimu mahiri

Na CHRIS ADUNGO KUFUNDISHA wanafunzi wa shule za msingi ni kazi ngumu na rahisi! Ni rahisi iwapo mwalimu – katika ufundishaji wake...

MWALIMU WA WIKI: Rashid Kisenya mwalimu dijitali

Na CHRIS ADUNGO KUFAULU kwa mwanafunzi shuleni hutegemea mtazamo wake kwa mwalimu na masomo yote anayofundishwa darasani. Kwa kuwa...