• Nairobi
  • Last Updated May 6th, 2024 7:55 PM

Malori marufuku katika barabara ya Nakuru-Eldoret Moi akizikwa

Na RICHARD MUNGUTI Malori yanayosafirisha mizigo hayataruhusiwa kwenye barabara ya Nairobi kwenda Eldoret Jumanne na Jumatano ili...

Mazishi ya Moi yanavyozidi kusambaratisha uhusiano wa Uhuru na Ruto

Na LEONARD ONYANGO KUTENGWA kwa Naibu wa Rais William Ruto katika mipango ya mazishi ya Rais Mstaafu Daniel arap Moi kumedhihirisha ufa...

Mbinu alizotumia Moi kuzima Mlima Kenya

Na WANDERI KAMAU MIGAWANYIKO ya kisiasa miongoni mwa wanasiasa wa eneo la Mlima Kenya, imetajwa kuwa sababu kuu iliyompa mwanya Rais...

Sura nne za Nyayo

Na WANDERI KAMAU RAIS wa pili wa Kenya, hayati Daniel Moi ametajwa kuvaa sura nne tofauti katika kipindi cha miaka 24 aliyotawala Kenya...

Serikali yatoa ratiba ya safari ya kumuaga Moi

NA MARY WANGARI RAIS wa pili nchini Kenya Daniel Toroitich Arap Moi, atapumzishwa katika mazishi ya kitaifa Jumatano, wiki ijayo...

Moi alichukia ulevi, asema mjukuu wake

Na FRANCIS MUREITHI MJUKUU wa Rais mstaafu Daniel arap Moi, amefichua kuwa babu yake alichukia pombe na hakutaka walevi wajumuike naye...

Kifo cha Moi chaibua makovu ya mauaji ya halaiki Wagalla

Na BRUHAN MAKONG MAKOVU ya mauaji ya Wagalla mnamo 1984 yameibuka upya kufuatia kuaga dunia kwa aliyekuwa rais wa Kenya wakati huo,...

Wakazi Baringo waomboleza Mzee Moi kwa maandamano

FLORA KOECH Na WYCLIFFE KIPSANG WAKAZI wa Kaunti ya Baringo waliomboleza hayati Daniel Moi kwa maandamano na kufunga barabara ya...

Utawala wa Moi ulivyojaa giza

Na BENSON MATHEKA WAKENYA wanapoendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa rais wa pili wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi, baadhi ya...

Uhusiano wangu na Moi ulikuwa kama wa baba na mwana – Lee Njiru

Na STELLA CHERONO MSAIDIZI wa kibinafsi wa Rais Mstaafu Daniel arap Moi aliye pia Katibu wake wa Habari, Bw Lee Njiru huaminika kufahamu...

Tusifunike uzuri wake Moi kwa mabaya yake – Viongozi

Na WANDERI KAMAU RAIS Mstaafu Daniel Moi alikuwa kama binadamu wa kawaida, hivyo hapaswi kulaumiwa kwa baadhi ya makosa yaliyotokea...

Moi alivyoenzi Nakuru, eneo la makazi yake ya kifahari ya Kabarak

NA ERICK MATARA KATIKA kipindi cha utawala wake wa miaka 24, Rais Mstaafu Daniel Moi alipenda sana mji wa Nakuru ambako pia ana makazi...