• Nairobi
  • Last Updated May 20th, 2024 5:55 AM

NJENJE: Wafanyabiashara wadogo wafaidika chini ya mpango maalum wa kuwapatia mikopo

NA WANDERI KAMAU JUMLA ya biashara ndogo ndogo 2,190 zimepokea Sh3.3 bilioni chini ya mpango wa serikali wa kutoa mikopo kwa...

NJENJE: Mapato ya uuzaji mboga na matunda yashuka, uzalishaji ukipungua

NA WANDERI KAMAU MAPATO ya uuzaji wa mazao ya kibiashara nchini yalishuka kwa Sh32 bilioni katika nusu ya kwanza ya mwaka huu,...

NJENJE: Mauzo ya miraa Somalia yazolea Kenya Sh220m kwa siku 4

NA WANDERI KAMAU KENYA ilisafirisha miraa ya jumla ya Sh220 milioni siku nne za mwanzo tangu kurejelea uuzaji wa zao hilo nchini...

NJENJE: Kenya yapunguza uagizaji sukari uzalishaji ukiongezeka

NA WANDERI KAMAU KENYA ilipunguza uagizaji sukari kwa nusu mnamo Juni ikilinganshwa na mwezi Mei, baada ya uzalishaji miwa kuongezeka...

NJENJE: M-Pesa sasa kutumika katika nchi 200 duniani baada ya kutia mkataba na kampuni ya Visa

NA WANDERI KAMAU MAMILIONI ya wateja wa M-Pesa nchini sasa wana nafasi kulipia bidhaa na huduma katika zaidi ya nchi 200 duniani, baada...

NJENJE: Kenya kuagiza ngano kutoka Serbia kuziba pengo lililotokana na vita Ukraine

NA WANDERI KAMAU KENYA itaanza kuagiza ngano kutoka Serbia hivi karibuni, ili kujaza pengo lililoachwa na Urusi na Ukraine kufuatia...

NJENJE: Kiangazi kinachoendelea chanyima Kenya nafasi ya kuuza maziwa yake Oman

NA WANDERI KAMAU KENYA imekosa nafasi ya kuuza maziwa yake nchini Oman kufuatia athari za kiangazi kinachoendelea nchini. Oman...