• Nairobi
  • Last Updated April 17th, 2024 6:55 PM

Nakuru West Queens washinda Eldoret Falcons 3-2 ugenini

NA RICHARD MAOSI TIMU ya Nakuru West Queens FC ambayo inashiriki Ligi ya Akinadada ya KWPL, inaenelea kufanya vyema ligini baada ya...

Timu zaanza kujiandaa kwa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu

NA JOHN KIMWERE INGAWA janga la corona lilichangia shughuli za michezo kusitishwa kote nchini, timu za soka la wanawake zimeanza kupiga...

Motisha baada ya KWPL kutengewa Sh14 bilioni

Na JOHN KIMWERE KOCHA wa timu ya Eldoret Falcons, Joshua Ariko analitaka Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) liwazie upya kuhusu ngarambe...

Juhudi za kukuza soka ya wanawake zitazaa matunda – Akorot

Na JOHN KIMWERE MENEJA wa kituo cha MYSA pia aliye mwanachama katika kamati ya kuteua waamuzi wa mechi za Ligi katika Shirikisho la Soka...

Chipukizi wa Kibera Saints sasa watawala ligini

Na JOHN KIMWERE KIKOSI cha Kibera Saints kilichupa juu ya jedwali ya kampeni za kufukuzia taji la Nairobi West Regional League (NWRL)...

Kivumbi chatarajiwa Thika Queens na Gaspo Women wakivaana

Na JOHN KIMWERE KIVUMBI kikali kinanukia wikendi hii baina ya Thika Queens na Gaspo Womens katika Soka ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Kenya...

Nakuru West Queens waapa kuzima wapinzani KWPL

NA RICHARD MAOSI Huu ni msimu mwingine mzuri kwa kikosi cha Nakuru West Queens ,timu ya akina dada inayofanya vyema katika ligi ya...

Warembo wa Trans Nzoia, Thika na Mathare kusaka ushindi wikendi

Na JOHN KIMWERE KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa wikendi hii kwenye kwenye kampeni za Soka ya Ligi Kuu ya Wanawake ya Kenya...

Kahawa yazidi kupiga wapinzani

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wanawake ya Kahawa Queens ilijiongezea matumaini ya kumaliza mechi za Kundi A Ligi ya Taifa Daraja la Kwanza...

Kocha wa Kayole alia ukosefu wa hela waponda kikosi chake

JOHN KIMWERE, NAIROBI KOCHA wa Kayole Starlets, Joshua Sakwa inalitaka Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) lijitokeze na kufunguka kwamba...

Kahawa Queens wafuzu kushiriki Ligi Kuu

Na JOHN KIMWERE WANASOKA wa kikosi cha Kahawa Queens wameketi mkao wa subira kutawazwa malkia wa michezo ya Kundi A Ligi ya Taifa Daraja...

Kahawa Queens mtindo ni kugawa dozi

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Kahawa Queens iliendeleza mtindo wa kugawa dozi dhidi ya wapinzani wao kwenye mechi za Kundi A Ligi ya Taifa...