• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Naibu Gavana wa Lamu afichua siri ya kusalia mtiifu kwa Timamy

NA KALUME KAZUNGU USHIRIKIANO mzuri wa kikazi kati ya Gavana wa Lamu Issa Abdalla Timamy na Naibu Gavana Raphael Munyua Ndung’u,...

Cha kufanya kupata pesa ambazo Meta imetangaza

NA WANDERI KAMAU ILI wapakiaji maudhui nchini Kenya wanaotumia mitandao ya Facebook na Instagram inayomilikiwa na Meta kuanza kulipwa...

Gachagua afichua alikuwa akibugia pombe kreti nzima

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesimulia jinsi alivyokuwa amezama kwa pombe kiasi kwamba alikuwa akibugia kati ya chupa...

Gachagua: Sisi ni wa nani?

NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua mnamo Jumatano alisema kwamba wakulima wa kahawa wa Mlima Kenya wanafaa pia kusamehewa...

Mfumo wa ‘paper mulching’ kuboresha kilimo maeneo kame

NA SAMMY WAWERU TEKNOLOJIA ya mtandazo (mulching) imekuwepo tangu jadi, inayojulikana ikiwa ni matumizi ya nyasi kuzuia uvukizi wa...

Zawadi kwa vijana wenye vumbuzi kuboresha kilimo

NA SAMMY WAWERU HEIFER International ni mojawapo ya kampuni na mashirika yanayotambua mchango wa vijana Kenya kuboresha shughuli za...

Trekta ndogo kivutio cha vijana kushiriki kilimo 

NA SAMMY WAWERU MATUMIZI ya mitambo, mashine na teknolojia za kisasa yanatajwa kama mojawapo ya mbinu kuboresha shughuli za...

Magwiji kuzalisha maharagwe ya jadi

NA SAMMY WAWERU  LIKIWA na miaka mitano tangu lianzishwe, kundi la Neema Farmers Community Garden linajivunia kuwa na mchango mkubwa...

Punda wa Lamu wapumzika kiasi mwezi wa Ramadhani

NA KALUME KAZUNGU WAISLAMU wakiendelea na kufunga na kutekeleza ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, shughuli za kazi za kawaida...

Mama anayejituma kufufua kilimo cha mimea asilia

NA SAMMY WAWERU JEPHLINE Ojwang’ ni mkulima wa mimea asilia katika Kaunti ya Migori, shughuli za zaraa anazojivunia...

Mashindano ya mbwa yanoga eneo la Diani

NA SIAGO CECE ILIKUWA ni shamrashamra katika maonyesho na mashindano ya mbwa Diani huku mamia ya wakazi na mbwa wao wakijitokeza kwa...

Vita dhidi ya pombe vyageuka ujenzi wa mnara wa Babeli

NA MWANGI MUIRURI VITA vinavyoendeshwa Mlima Kenya dhidi ya pombe ya mauti, mihadarati na utundu wa wamiliki wa baa vimegeuka sawa na...