• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Ndani ya ziara ya Ruto nchini Tanzania, akutana na mvua huko

NA MARY WANGARI RAIS William Ruto mnamo Ijumaa aliungana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu kusherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano...

Watu saba waokolewa baada ya lori lao kusombwa na mafuriko

NA MWANDISHI WETU WATU saba wameokolewa kutoka kwa Mto Kwa Muswii na kupelekwa katika hospitali ya Sultan Hamud, Shirika la Msalaba...

Magavana wakaa ngumu, wanataka mgao wa Sh439bn kuwasitiri dhidi ya ushuru wa juu

Na COLLINS OMULO MAGAVANA wamekataa mgao wa bajeti wa Sh391.1 bilioni uliopitishwa na wabunge wakishikilia kuwa hawatakubali mgao...

Takriban watu 10 wasombwa na maji wakijaribu kuvuka mto wakiwa ndani ya gari Makueni

NA PIUS MAUNDU TAKRIBAN watu 10 wanashukiwa kuangamia baada ya kusombwa na mafuriko walipokuwa wanajaribu kuvuka Mto Muswii katika...

Watu 155 waaga dunia TZ kufuatia mafuriko, maporomoko ya ardhi

NA MASHIRIKA DAR ES SALAM, TANZANIA WATU 155 wamepoteza maisha na wengine 236 kujeruhiwa kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi...

Basari: Mwago awapanga wanafunzi kutoka familia maskini

NA SAMMY KIMATU WATOTO 2,000 katika wadi ya Landi Mawe na wenzao kutoka wadi ya Nairobi South, ambao wametoka katika familia maskini,...

Mafuriko yaamsha wanakijiji usingizini, yafagia mali

NA OSCAR KAKAI BI Lona Andiema, mama wa watoto wanne katika kijiji cha Kambi Karai kilichoko katika wadi ya Sekerr, Kaunti ya Pokot...

Kaunti ya Kilifi yatenga Sh39m kwa basari muhula wa pili

NA MAUREEN ONGALA SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi imetenga Sh39 milioni kwa basari muhula wa pili. Serikali ya Gavana Gideon Mung'aro...

Familia ya Moi yachangisha pesa za matibabu ya mjukuu

JOSEPH OPENDA Na KENNEDY KIMANTHI JAPO aliyekuwa Rais wa Pili wa Kenya, Hayati Daniel Moi alikuwa kiongozi wa kuheshimika Afrika na mmoja...

Ruto ziarani TZ, Zimbabwe nyuma akiacha mafuriko, mgomo wa madaktari

NA CHARLES WASONGA HUKU taifa likizongwa na athari za mafuriko na mgomo wa madaktari, Rais William Ruto Alhamisi aliondoa nchini kwa ziara...

Majangili waua msichana na kuiba mifugo Kamologon

NA OSCAR KAKAI TAHARUKI imetanda kwenye mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet baada ya majangili kuvamia kijiji cha...

Mafuriko: Waliotafuta hifadhi shuleni waingiwa na wasiwasi

NA GEORGE ODIWUOR WASIWASI mwingi unazikumba familia zilizohama makwao kutokana na mafuriko na ambazo kwa sasa zinakita kambi katika shule...