• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 9:48 PM

Watu 13 wafariki baada ya basi kugongana na gari jingine eneo la Pala

Na BENSON MATHEKA WATU 13 walikufa Alhamisi usiku basi walimosafiria lilipogogana na trela eneo la Pala, umbali wa kilomita tatu kutoka...

Inspekta Mwala alimuua jamaa wetu, hafai kuachiliwa kwa Sh30,000, familia yalia

NA MOHAMED AHMED FAMILIA ya mwanamume aliyeuawa kwa kugongwa na gari na mwigizaji Davis Mwabili maarufu kama Inspekta Mwala,...

Watu 6 waangamia katika ajali ya Mazeras

MISHI GONGO na MAUREEN ONGALA WATU sita walifariki Jumatatu katika ajali mbaya ya barabarani iliyotekea sehemu ya Makobeni Kaloleni...

‘Jinamizi la ajali nchini linahitaji kutathminiwa kwa kina’

Na SAMMY WAWERU SAFARI ya mwanamuziki tajika wa benga kwa lugha ya Agikuyu, John Ng’ang’a Mwangi maarufu kama John De’ Mathew,...

Washangaza kung’ang’ania vyuma kuukuu baada ya ajali

Na GEOFFREY ONDIEKI Kioja kilizuka eneo la Kaptembwa mjini Nakuru baada ya wakazi kung’ang’ania vyuma kuukuu wakati lori la...

Rudisha ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Keroka

RUTH MBULA Na GEOFFREY ANENE BINGWA mara mbili wa Olimpiki, Dunia na Afrika katika mbio za mita 800, David Rudisha anaendelea kupokea...

Simanzi maziko ya wahanga 68 wa ajali ya mafuta yakianza TZ

NA MASHIRIKA MAJONZI yalitanda nchini Tanzania Jumapili wakati maandalizi ya kuwazika zaidi ya watu 60 waliokufa kwenye moto uliotokea...

Padri mlevi asababisha mauti ya mhubiri na mkewe

Na WAWERU WAIRIMU WATU watatu wa familia moja, akiwemo mhubiri na mkewe, walifariki Jumamosi asubuhi baada ya kuhusika kwenye ajali ya...

Ruto kusaidia familia ya mtoto aliyegongwa na msafara wake

Na GAITANO PESSA na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto ameahidi kusaidia familia ya mtoto aliyekufa baada ya kugongwa na gari...

Je, ushirikina husababisha ajali za barabarani?

Na MWANGI MUIRURI AJALI za mauti barabarani zimekuwa kero kubwa kwa familia nyingi hapa nchini ambapo nyingi hutazama makaburi ya...

Vifo kutokana na ajali vyaongezeka

Na PETER MBURU IDADI ya vifo kutokana na ajali tangu mwaka ulipoanza hadi Mei 4 imeongezeka mwaka huu, ikilinganishwa na kipindi sawa...

ONGAJI: Karaha kwenye barabara kuu ya Thika zitatuliwe

Na PAULINE ONGAJI TANGU ilipozinduliwa miaka saba iliyopita, barabara kuu ya Thika imesaidia kupunguza msongamano wa magari na hivyo...