• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 7:53 AM

MWANAMUME KAMILI: Mume kamili ni shujaa kwa msimamo usiotetereka!

Na DKT CHARLES OBENE USHUJAA wa mwanamume ndiyo hamasa tunayohitaji katika jamii. Ni wajibu wa kila mwanadamu kwanza kukubali ukweli...

MWANAMUME KAMILI: Tunaishi katika ulimwengu wa wanadamu vigeugeu wanaovuta kamba kwao huku wakitafuta kila njia wenzao kuwatokomeza!

Na DKT CHARLES OBENE NINAKUMBUKA kaulimbiu ya chama kimoja cha kisiasa kilichoasisi na kushawishi wanachama kwenda mbele. “Mbele...

MWANAMUME KAMILI: Ni ugumegume kufikiria haja ya mke ni chumbani tu!

Na DKT CHARLES OBENE NILIPOKUWA kwenye matatu moja mtaani, nilidakia kwa huzuni mazungumzo ya wanaume walioketi nyuma yangu. Hawakuwa...

MWANAMUME KAMILI: Jamani wazazi pimeni semi kabla kutamka!

Na DKT CHARLES OBENE WIKI jana nilikumbana na migogoro kadha vyuoni iliyonihuzunisha mno. Vyuo vikuu hali kadhalika taasisi za elimu...

MWANAMUME KAMILI: Lau kama si kiboko, hawa hawangeitwa wanaume!

Na DKT CHARLES OBENE KUNA haja ya jamii kuhamasishwa juu ya athari ya kuwepo wanaume-jina! Yaani wanaume kwa kuwa maumbile yao ni ya...

MWANAMUME KAMILI: Kama kuzalisha ni raha, basi malezi yawe vilevile!

Na DKT CHARLES OBENE KINAYA cha maisha ni kwamba wanaume wa leo hawataki kuoa watoto wa watu waliohimilika ujanani maana “hawataki...

MWANAMUME KAMILI: Ubaguzi wa nini ilhali sote tumezaliwa namna moja?

Na DKT CHARLES OBENE NZIGE wana huruma kuliko wanawadamu wa leo! Karibu nikujuze kinaya ya wanadamu kula pamoja gizani lakini...

MWANAMUME KAMILI: Tatizo ni wanaojua ‘ukulima’ ila si upaliliaji na uvunaji zao

Na DKT CHARLES OBENE NATUMAI kwamba nyote mmekwisha kuwaona ama kuonana ana kwa ana na wangwana wanaojitahidi kuipa serikali idadi...

MWANAMUME KAMILI: Mahaba bila pato ni kama hadithi ya paukwa pakawa!

Na DKT CHARLES OBENE MWANAMUME kufurushwa nyumbani ndio dawa mujarabu ya wazembe wa leo! Vituko na visa vya wanaume kutemwa ama...

MWANAMUME KAMILI: Ilmuradi una uwezo wa kula vya kuliwa, kula shibe yako!

Na DKT CHARLES OBENE TUMEZOEA mno kuzozana mazishini ama kupigania wali wa ndevu! Jamani walaji, mbona kutwa kucha mlishindwa kuzoa...

MWANAMUME KAMILI: Mke na mume ndio wajua dawa ya jipu liwashalo!

Na DKT CHARLES OBENE TUNAPENDA sana kuitwa nyumbani kwa wengine kama wapatanishi! Hili nalisema kwa ufasaha mno. Wanaume kwa...

MWANAMUME KAMILI: Masuala ya huba, kasoro za maumbile ni siri za moyoni

Na DKT CHARLES OBENE TOFAUTI baina ya wanadamu haziepukiki maishani. Lakini tutahadhari kumwaga mtama kwenye kuku wengi hasa katika...