• Nairobi
  • Last Updated May 21st, 2024 3:55 PM

MWANAMUME KAMILI: Katika ulaji wa raha zenu msichafue bustani zetu

Na DKT CHARLES OBENE BINADAMU anaweza kuwa jitu kwa vipawa alivyotunukiwa, lakini si kitu pasi na mazingiza mema. Ulimwengu...

MWANAMUME KAMILI: Heri udondoke jasho ukulini kuliko mate madanguroni!

Na CHARLES OBENE MARA kwa mara tunakumbana na magogo ya wanaume wanaokesha madanguroni na kwenye vilabu vya walevi wanywaji ngongo kama...

MWANAMUME KAMILI: Ukware wa wanaume wa leo umechangia aibu mazishini!

Na DKT CHARLES OBENE NIMEWAHI kuzungumzia haja ya wanaume wa leo kuwajibika kabla mauti na fedheha kuwafika siku za mwisho. Hili liwe...

MWANAMUME KAMILI: Kucheza na dume la leo ni kuhatarisha shoka fuvuni!

Na CHARLES OBENE DAMU ya usalata ingali ardhini, vidimbwi vidogo vidogo vya huzuni vimetulia na kushikamana na ardhi kama ithibati ya...

MWANAMUME KAMILI: Ukipendwa pendeka, nayo macho ya pembeni yazibe!

Na CHARLES OBENE KILA mara tunashuhudia vita vya nyumbani baina ya watu ambao ni muhali kuzozana! Si ajabu kwamba wachumba wa leo...

MWANAMUME KAMILI: Nyie mnaotangazia umma ya chumbani ni gumegume

Na DKT CHARLES OBENE VITA vya wapendanao mitandaoni fedheha kwa jamaa na jamii. Lau tungekuwa wenye akili timamu, tungekoma usabasi...

MWANAMUME KAMILI: Mfujaji jasho lake hana budi kujiandaa kwa dhiki uzeeni

Na DKT CHARLES OBENE LABDA umewahi kuwaona wazee wa makamo wanaolala kwenye milango ya maduka ama kwenye stani ya mabasi ukajiuliza...

MWANAMUME KAMILI: Katika usasa, hakuna nafasi ya upofu wa akili, nafsi na ari

Na DKT CHARLES OBENE KINYUME na wanavyodhani wanaume kwa wanawake wazembe wa leo, mwanadamu awe mkubwa ama mdogo ana nafasi yake katika...

KIJIWENI: Mwanamume kamili

Na DKT CHARLES OBENE IJE mvua lije jua, kamwe sitathubutu kudunisha juhudi za mamangu mzazi! Daima nitajizatiti na kujikaza kisabuni...