• Nairobi
  • Last Updated May 21st, 2024 11:37 AM

WASIA: Namna ya kukabili kiherehere cha mtihani ili kuvuna alama nzuri

Na HENRY MOKUA UMEWAHI kujiandaa kujieleza vilivyo katika kikao fulani kisha ukabaki ukijilaumu, ukijigombeza hasa kinapofikia...

WASIA: Udanganyifu ni mkakati hakika wa kujichimbia kaburi kiakademia

Na HENRY MOKUA WAKATI mwingine mimi huketi nikajiuliza kinachomfanya mwanafunzi kufanya udanganyifu katika mtihani, mujarabu au hata...

WASIA: Jinsi ya kuukabili woga wa kushauriana na mwalimu wa somo

Na HENRY MOKUA MWANA wako amewahi kukuuliza swali likakuzungusha akili usijue la kujibu? Mdogo wako je? Unajua watoto wakati...

WASIA: Dini, kuwapa wanafunzi fursa kujieleza kwaweza kutatua utumiaji vileo

Na HENRY MOKUA KILA mtoto afanyapo mtihani, nia ya mzazi huwa kuona kwamba mwanawe amefanya vema. Kufanya vema hapa kuna maana...

WASIA: Angazia masuala mapya ya kiakademia sasa ili kiherehere cha mtihani kikuambae

Na HENRY MOKUA SIJUI lini mwisho umesafiri kwenda usipokujua. Kwa kutotaka kubahatisha upotee, ikakubidi kutafuta maelekezo kutoka...

WASIA: Kuaminiana kwa washikadau ni msingi muhimu wa kufikia ufanisi masomoni

Na HENRY MOKUA ISMAIL ni miongoni mwa watu wanaoamiwa kuhakikisha nidhamu; si kwa wanawe tu bali pia wanaomzunguka. Mbinu za kuadhibu,...

WASIA: Kusikiliza kwa makini ni njia hakika ya kuchota maarifa ya kukufaa

Na HENRY MOKUA JE, ni mara ngapi wewe husikiliza unapofahamishwa kuhusu jambo usilolijua? Je, unapofahamishwa kuhusu ulijualo? Ni mazoea...

WASIA: Mashauriano ni muhimu kuwaadilisha vijana wanaobaleghe

Na HENRY MOKUA WIKENDI iliyopita mzazi fulani alinisimulia kisa cha kuchekesha na kusikitisha kwa wakati mmoja – kuchekesha kwa namna...

Daktari aandika wasia akitaka mwili wake utumiwe kwa utafiti akifa

Na CHRIS ADUNGO DAKTARI mmoja kutoka Meru na mmiliki wa zahanati ameandika wasia akiomba mwili wake usizikwe wakati maisha yake...