• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 9:50 AM

Enyi kina Brayo na Jayden, mkienda Lamu mtakosa majina!

NA KALUME KAZUNGU WATOTO wengi katika kizazi cha sasa utasikia wakiitwa ‘Brian’ – Brayo – au ‘Jayden’ kuashiria mabadiliko makubwa katika jamii na uhuru wa wazazi wao waliowachagulia majina hayo. Mambo ni tofauti kabisa katika Kaunti ya Lamu, eneo linalotambulika sana ulimwenguni kwa jinsi linavyothamini, kukuza na kuenzi ukale na kuhifadhi historia yake. Hali hiyo […]

Kisura anayelenga kupata mavuno mazuri katika uigizaji

NA JOHN KIMWERE  NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Meegesh Neshiro almaarufu Chep kamwe haachwi nyuma licha ya pandashuka ambazo hupitia kwenye shughuli za uigizaji. Sura na sauti yake sio geni kwa wapenzi wa burudani ya maigizo nchini. Anaorodheshwa kuwa ni miongoni mwa wasanii wanaokuja wakilenga kuendelea kuteka hadhira miaka ijayo. […]

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Umuhimu wa vazi la hijabu kwa mwanamke Mwislamu

NA HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu Subuhaanahu wata’ala, mwingi wa Rehema na mwenye kurehemu. Swala na salamu zimuendee mtume wetu Muhammad Swalla Allahu a’alayhi wasallam, Swahiba zake jirani na watangu wote wema hadi siku ya kiyama. Hijabu inayotakiwa kisheria ni mwanamke kufunika sehemu zote za mwili wake zilizokuwa haramu kuonekana wazi, au […]

Wapenzi wa Taifa Leo waongezeka nchini – MCK

NA RICHARD MUNGUTI GAZETI la Taifa Leo ndilo linakua kwa kasi zaidi nchini Kenya. Ripoti iliyotolewa leo Jumatatu na Baraza la Vyombo vya Habari nchini (MCK) inaonyesha kuwa Taifa Leo sasa ni gazeti la tatu kwa kuwa na idadi kubwa ya wasomaji. Asilimia 15 ya wasomaji wa magazeti nchini wanapenda kusoma Taifa Leo linalomikiwa na […]

GWIJI WA WIKI: Catherine Kay

Na CHRIS ADUNGO CATHERINE Kanini Muthini almaarufu Catherine Kay ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili wanaotumia Kiswahili kueneza Ukristo na kuwasilisha dhamira mbalimbali zinazosawiri uhalisia wa maisha. Upekee wake ulingoni ni ujuzi wa kuremba lugha kwa ufundi mkubwa na utajiri wa msamiati unaompa wepesi wa kuita maneno ya sifa kila anapojikuta katika majukwaa ya […]

SHANGAZI SIZARINA: Mbona kila ninayemtongoza anikataa?

Mbona kila ninayemtongoza anikataa? Kusema ukweli nahisi kama nimelaaniwa, kwani kila ninapotongoza huwa nakataliwa. Nifanyeje kwani nimekata tamaa ya kuwa katika uhusiano. M.H. MarereniInawezekana lugha unayotumia sio rafiki na ndio maana unakataliwa. Jaribu kubadilisha lugha na jinsi ambavyo unazungumza na hao wasichana. Sina hisia za mapenzi, nina kasoro? Mimi ni msichana wa umri wa miaka […]

MAPISHI KIKWETU: Teriyaki chicken

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuanda: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 30 Walaji: 3 Vinavyohitajika vipande vikubwa vya nyama ya kuku bila ngozi au mifupa chumvi pilipili kijiko 1 cha mafuta vikombe 2 vya maua ya broccoli pilipili 1 iliyokatwa vipande vipande mbegu za ufuta kwa mapambo (kama ukipenda) vikombe 2 vya wali […]

UJASIRIAMALI: Pikniki zake ni za kupigiwa mfano mijini

NA MARGARET MAINA KWA njia nyingi, biashara yake ni tofauti na mtindo ambapo wanaoenda miadi au pikniki hubeba kila kitu wanachohitaji; kuanzia kwa viburudisho hadi vyombo, vikapu vya taka na blanketi ya kutandika chini katika mazingira ya nje ili kupata muda bora pamoja. Kwa Njoki Mwangi, kumpangia rafikiye pikniki ndogo ili kusherehekea siku yake ya […]