• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 1:15 PM

Mhadhara wa umma kuandaliwa kumuenzi Prof Ken Walibora

NA WANDERI KAMAU WAKEREKETWA wa Kiswahili nchini wanapanga kuandaa mhadhara wa kwanza wa umma kumuenzi marehemu Prof Ken Walibora, aliyefariki Aprili 2020 kwenye ajali ya barabarani jijini Nairobi. Prof Walibora alikuwa msomi, mwanahabari na mwandishi wa vitabu aliyesifika nchini Kenya na duniani kote kutokana na mchango wake mkubwa katika ukuzaji wa lugha ya Kiswahili. Mhadhara […]

Wapenzi wa Kiswahili wamuenzi Walibora, familia ikililia haki

NA LEONARD ONYANGO FAMILIA ya mwandishi nguli, mwanahabari na msomi wa lugha Prof Ken Walibora imeshutumu serikali kwa kusalia kimya kuhusu uchunguzi kuhusu kifo chake miaka mitatu tangu alipoaga dunia. Bw Patrick Lumumba, nduguye Prof Walibora, amesema Jumamosi kuwa familia ingali haijui kilichosababisha kifo cha mwanahabari huyo mahiri. Prof Walibora alifariki dunia mnamo Aprili 10, […]

KAULI YA MATUNDURA: Ken Walibora anavyoendeleza taswira ya uana katika ‘Mgomba Changaraweni’

Na BITUGI MATUNDURA ‘MGOMBA Changaraweni’ ni mojawapo ya kazi nyingi za fasihi alizotunga Ken Walibora. Marehemu Walibora alifahamika sana kwa utunzi wa riwaya na hadithi fupi ingawa pia alichangia mno utanzu wa fasihi ya Kiswahili ya watoto. Baadhi ya kazi zake ni pamoja na riwaya za Siku Njema (Longhorn,1996), Kufa Kuzikana (Longhorn, 2003), Ndoto ya […]

Seneti yaondolea KNH lawama kuhusu kifo cha Walibora mauko yake yakisalia kitendawili

Na CHARLES WASONGA SIKU 10 baada ya familia, jamaa, marafiki na mashabiki wa mwandishi mashuhuri marehemu Ken Walibora kuadhimisha mwaka mmoja baada ya kifo chake, maseneta wameondolea Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) lawama kuhusu kifo chake. Kwenye ripoti yake ya uchunguzi kuhusu kiini cha kifo cha mwandishi huyo, Kamati ya Seneti kuhusu Afya inasema […]

Kituo cha Walibora hatarini kufifia baada ya kifo chake

GERALD BWISA na ELVIS ONDIEKI KITUO cha kusambazia watoto vitabu kilichoanzishwa na msomi mashuhuri wa Kiswahili, marehemu Prof Ken Walibora, kinakumbwa na changamoto tele baada ya kifo chake. Prof Walibora alianzisha kituo hicho cha Ken Walibora Centre for Literature Development katika mwaka wa 2019, akiwa na lengo la kuwawezesha wanafunzi kusoma vitabu 400 vya hadithi […]

MALENGA WA WIKI: Walibora aendelea kukumbukwa kwa mchango wake muhimu kukuza Kiswahili

Na HASSAN MUCHAI JUMAMOSI, ilikuwa siku ya maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha mwandishi nguli Ken Waliaula maarufu kama Ken Walibora kutokea. Ripoti za awali kutoka kwa maafisa wa usalama zilionyesha kuwa Ken alifariki kutokana na ajali ya barabarani eneo la Landhies jijini Nairobi. Maiti ya Ken ilitambuliwa siku tano baadaye katika chumba cha […]

Walibora akumbukwa kwa kongamano

ELVIS ONDIEKI na OSBORNE MANYENGO ZAIDI ya wapenzi 1,000 wa lugha ya Kiswahili leo saa 10 jioni wanaandaa kongamano kupitia mtandao, kumuenzi na kumkumbuka msomi na mwandishi maarufu, Prof Ken Walibora aliyeaga dunia mwaka 2020. Kongamano hilo linafanyika kupitia teknolojia ya Zoom likijumuisha wasomi wa Kiswahili pamoja na wengine na litatamatika saa mbili usiku. Kulingana […]

‘Tutakupeza Prof Ken Walibora’

Na Hosea Namachanja Mauti yangalikuwa binadamu, ningalijihimu na niyaulize ni kitita kipi cha hela yangalitaka lakini tatizo, mauti si binadamu. Aidha, yangalikuwa yaongea na kula kama mimi, mlo mzuri ningeyaandalia na kuyarai yatuachie mtoto wa mwalimu uhai wake lakini yote tisa, twakubali yaishe. Katika udogo wake, alitamani kuwa askari na avalie magwanda mazuri kama askari. […]

KINA CHA FIKRA: Profesa Ken Walibora alikichapukia Kiswahili kwa kauli na matendo, Mola azidi kumrehemu

Na WALLAH BIN WALLAH LEO tumeumega mwaka mzima kasoro siku tatu tangu alipoaga dunia Profesa Ken Walibora mwandishi mahiri mtajika wa vitabu vya Kiswahili aliyetuacha tarehe kumi Aprili, 2020. Katika kitabu cha Juliasi Kaizari kilichotafsiriwa na Rais wa kwanza wa Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere; Mark Antonio anasema, “Ndugu Warumi, matendo mema ya mwanadamu […]

SAUTI YA MKEREKETWA: Heko wadau kuwezesha wapenzi wote wa Kiswahili kumwomboleza Walibora

  Na HENRY INDINDI SASA tunakubali kwamba ndugu yetu Prof Ken Walibora alituacha maanake hatuna budi tena kukubali baada ya kushuhudia mazishi yake. Tunachoweza kufanya kwa sasa ni kuiombea roho yake huko alikopumzishwa na kuiombea familia yake ijaliwe nguvu na uwezo wa kustahimili msiba. Aidha, tutaendelea kupalilia matumaini na kushinikiza vyombo vya dola kushughulikia uchunguzi […]