• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:47 PM

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Heko Mama Samia, Dkt Ruto na Mzee Museveni kuimarisha uhusiano wa Afrika Mashariki

NA WALLAH BIN WALLAH NCHI tatu za Afrika Mashariki: Kenya, Uganda na Tanzania ni ishara ya mafiga matatu ya kuinjikia chungu...

MIZANI YA HOJA: Juhudi anuwai zilizochangia kuvuna matokeo bora katika mitihani ya somo la Kiswahili

NA WALLAH BIN WALLAH WASWAHILI husema kinolewacho hupata na atangaye sana na jua hujua! Hizo ni baadhi tu ya methali zinazomhimiza...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Tufaane na kutendeana wema kwa wema tungali hai duniani

NA WALLAH BIN WALLAH KILA mmoja wetu ajiulize endapo amewahi kutenda wema au kutendewa wema wowote maishani? Ukiwa umewahi kutendewa...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Ukijiamini na uzingatie shughuli unayofanya bila shaka utafanikiwa sana

NA WALLAH BIN WALLAH WATU wengi hushindwa kufanikiwa kupata wanachohitaji maishani kwa sababu hawajiamini wala hawazingatii shughuli...

KAULI YA WALLAH: Ukitaka ufanikiwe zaidi sharti uwe mwanafunzi bora si bora mwanafunzi

NA WALLAH BIN WALLAH UKWELI ni kwamba kila mtu aliye tayari kujifunza mahali popote ni mwanafunzi. Lakini kwa vijana wetu, mahali pao...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Kukuza na kuendeleza Kiswahili ni dhima yetu sisi sote ulimwenguni

Na WALLAH BIN WALLAH KATIKA uwanja wa kandanda refarii hachezi lakini wajibu wake mkubwa ni kuchezesha mpira na kudhibiti nidhamu na...

KINA CHA FIKIRA: Ujeuri wa mpapai hujeruhi na udhalili wa unyasi huokoa

Na WALLAH BIN WALLAH KILA mwanadamu ana hulka au tabia tofauti. Wapo wenye tabia za upole, unyenyekevu na heshima. Pia wapo wenye...

KAULI YA WALLAH: Ni busara kufikiri badala ya kupapia kusema au kujibu

NA WALLAH BIN WALLAH KUFIKIRI ni kazi. Ubongo wako hauwezi kukupa majibu sahihi ya maswali unayoulizwa bila ya ubongo kufanya kazi ya...

WALLAH: Usimtukane mamba kabla hujauvuka mto

NA WALLAH BIN WALLAH JUZI nilimsikia Mzee Shikaadabu akimkanya mjukuu wake aitwaye Kichwamraba akome kabisa ujeuri! Akamwambia, 'Mjukuu...

KINA CHA FIKIRA: Epuka kujipaka uchafu ndipo nzi wasikusumbue

Na WALLAH BIN WALLAH BABU yangu Mzee Majuto bin Kengemeka aliniambia zamani nilipokuwa kijana mchanga kwamba watu humchukia nzi -mdudu...

KINA CHA FIKRA: Kuteka watoto nyara ni unyama na hatari kwa usalama

Na WALLAH BIN WALLAH KILA kunapokucha kunakucha na kucha zake! Siku hizi kila kunapokucha utasikia visa vya kuatua moyo na kuogofya...

KINA CHA FIKRA: Asilan usikubali kushindwa hata kabla ya kujaribu

Na WALLAH BIN WALLAH UNYONGE wa watu wengine ni kukata tamaa mapema hata kabla ya kujaribu kufanya shughuli au kazi fulani wanazopaswa...