• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 3:10 PM

Wakenya 4,500 kutekeleza ibada ya Hajj 2024

NA FARHIYA HUSSEIN WAKENYA 4,500 watatekeleza ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwaka 2024, kulingana na Baraza Kuu la Waislamu Nchini...

Arati ataka waliotibua mkutano wake wakamatwe

RUTH MBULA Na WYCLIFFE NYABERI GAVANA wa Kisii Simba Arati sasa anataka polisi kuwakamata na kuwashtaki anaowaita wahalifu waliofyatua...

Watu 15 waaga dunia katika ajali eneo la Twin Bridge

NA MERCY KOSKEI WATU 15 wameaga dunia huku saba wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea Jumanne alfajiri katika eneo la Twin Bridge, Mau...

Afueni wasahihishaji KCPE na KCSE 2023 wakipata malipo yao mapema

NA WANDERI KAMAU KWA mara ya kwanza, serikali imetangaza kuwalipa wasahihishaji wa mitihani bila kuwacheleweshea pesa zao. Mnamo...

Waliodanganya kwenye KCSE walisaidiwa na wataalamu, ripoti yafichua

Na BENSON MATHEKA Watahiniwa 4,113 walioripotiwa kuhusika katika udanganyifu katika Mtihani wa KCSE wa 2023  walisaidiwa na wataalamu...

Kashfa nyingine? Maswali yaibuka watahiniwa wakipata matokeo tofauti nyakati tofauti

NA WAANDISHI WETU Hali ya sintofahamu imewakumba wazazi pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali baada ya kupata matokeo tofauti kupitia...

Masharti makali yawekwa kwa wanaonuia kufanya KCSE/KPSEA ya 2024

Na BENSON MATHEKA Walimu wakuu wa shule za msingi na sekondari wamepatiwa masharti makali ya kusajili watahiniwa wa mitihani ya Gredi ya...

Wavulana wawika kwa Alama za A na E huku wasichana wakikamata C na D nyingi

Na MWANGI MUIRURI Wavulana ndio walivuna kwa wingi alama za juu na pia za chini katika matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) 2023...

Hakuna matokeo kupitia SMS Wakenya wakilazimika kujazana kwenye tovuti ya Knec

Na CHARLES WASONGA KWA  mara ya kwanza, matokeo ya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) hayajatolewa kwa umma kupitia nambari...

Utangazaji wa Matokeo ya KCSE wagatuliwa na kupelekwa jiji la Rais Ruto, Eldoret

NA LABAAN SHABAAN Ni mara ya kwanza matokeo ya Mitihani ya Kitaifa ya Shule ya Sekondari nchini (KCSE) kutangazwa kutoka nje ya jiji la...

KCSE: Tovuti ya Knec yagoma maelfu ya watahiniwa wakitafuta matokeo

UPDATE: Tovuti ilirejea sawa 11:40 am -Mhariri NA MWANGI MUIRURI Msongamano mkubwa umekumba tovuti ya tume ya mitihani nchini (KNEC)...

TSC: Tunahitaji walimu 20,000 zaidi kujaza pengo JSS

NA WANDERI KAMAU TUME ya Kuwaajiri Walimu Nchini (TSC) imesema inahitaji fedha kuajiri karibu walimu 20,000 wa Sekondari Msingi (JSS)...