• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Finya Kompyuta Upate Dola: Mambo ya kuelewa kuhusu mpango huu mpya wa serikali

NA WANDERI KAMAU HATUA ya serikali kuzindua mpango wa ‘Finya Kompyuta Upate Dola’ umezua maswali kuhusu ikiwa utafaulu, ikizingatiwa...

Mhubiri anayelisha waumini wake chakula cha kiroho na cha kimwili vile vile kupitia kilimo

NA SAMMY WAWERU HATA ingawa kijiji cha Kamale, Kitui Mashariki hakikosi kuhangaishwa na kiangazi, kina sifa za kipekee kufuatia jitihada...

Ugali wa Kenya ulivyovutia mgeni kuwekeza kwenye biashara ya viatu nchini

NA SAMMY WAWERU  VINCENT Ndayishemeze, ni kijana barobaro raia wa Burundi ambaye amekuwa nchini kwa muda wa mwaka mmoja.  Ni...

Kila mara nahisi mkojo hauishi kwenye mrija!

Mpendwa Daktari,Mimi hutingisha uume wangu baada ya kukojoa ilhali kila wakati mimi huhisi kana kwamba mkojo umesalia. Je tatizo laweza...

Mgawanyiko Mlimani: Hofu matukio ya 1992, 1997 yanajirudia

Na LUCAS BARASA HOFU ya migawanyiko iliyopelekea Mlima Kenya kubaki kwenye upinzani katika uchaguzi wa 1992 na 1997 na kudumaa...

Makanga mbioni kufuta nambari za simu kwenye magari kwa hofu ya kusemwa na abiria

NA LABAAN SHABAAN UKIABIRI matatu mojawapo ya Kampuni ya ByBuss Trans Sacco na ukose kufurahia huduma zao, utapanda mlima sana...

Wanaume wa SDA si washerati, asema mhubiri na kuvutia rundo la maoni

NA FRIDAH OKACHI WANAMITANDAO wamemkosoa Pasta Boaz Ouma wa kanisa la wasabato (Seventh-day Adventist Church) wakitaka aelezee...

Jinsi ya kutambua pombe salama na ile itakayokuua au kukupofusha

NA LABAAN SHABAAN POMBE (aina ya methanol) kijiko kimoja cha jikoni sawa na mililita 10 inaweza kumfanya mnywaji kuwa kipofu wa maisha...

Chipukizi wanaopania kuleta mwamko mpya katika Injili nchini

NA WANDERI KAMAU KWA miaka kadhaa sasa, kumekuwa na pengo kubwa katika tasnia ya muziki wa Injili nchini. Hili linafuatia hatua ya baadhi...

Msanii Nyashinski ateswa na kesi mahakamani

NA SINDA MATIKO KESI ya rapa Nyashinski imepigwa kalenda hadi Machi 13, 2024, ambapo anashtakiwa na produsa raia wa Nigeria kwa...

Sababu za wengi mashambani kumwagia Valentino maji baridi

NA WANDERI KAMAU LICHA ya Siku ya Valentino kuzua hisia na msisimko wa aina yake mnamo Jumatano miongoni mwa Wakenya, wakazi wengi katika...

Nuru Okanga adhihirisha ni wembe masomoni

NA FRIDAH OKACHI MFUASI na mtetezi sugu wa kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga, Nuru Okanga, kwa mara...