• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

TAHARIRI: Adhabu kwa Gor Mahia iwe funzo kwa timu zinazozua ghasia viwanjani

NA MHARIRI BAADA ya ghasia kuzuka katika uwanja wa MISC Kasarani wakati timu ya Gor Mahia ilipokuwa ikicheza na Vihiga Bullets mnamo...

TAHARIRI: Serikali isilegeze kamba inapokabili wahuni katika bodaboda

NA MHARIRI MSAKO wa polisi unaoendelea nchini dhidi ya wahudumu wa bodaboda unapasa kudumishwa hadi wahalifu wote ambao wamegeuza sekta...

TAHARIRI: Usahihishaji wa KCPE uzingatie haki za walimu

NA MHARIRI BAADA ya kukamilika kwa mtihani wa kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE), sasa macho yote ni kwa shughuli ya usahihishaji na...

TAHARIRI: Jamii itajuta kuvumilia wahalifu walio kwa bodaboda

NA MHARIRI WAKATI uchukuzi wa umma kwa njia ya pikipiki ulipoanza kuvuma miaka michache iliyopita, haingetarajiwa kwamba sekta ya...

TAHARIRI: KCPE: Serikali ihakikishe kila mtoto anafanya mtihani wake

NA MHARIRI KWA siku tatu zijazo, wanafunzi milioni moja na laki mbili watafanya mtihani wa kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE) katika vituo...

TAHARIRI: Walimu wasihujumu mitihani ya kitaifa wakitafuta ujira bora

NA MHARIRI HABARI za hivi punde kwamba walimu, kupitia vyama vyao vya kitaifa wametishia kufanya mgomo wa kitaifa na hivyo kuvuruga...

TAHARIRI: Si lazima lugha ya mama iwe ya kugawanya raia wa nchi

NA MHARIRI JUMATATU wiki hii, ulimwengu uliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama. Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na...

TAHARIRI: Serikali ikabili mfumko wa bei za bidhaa kuokoa raia

NA MHARIRI MAPEMA juma hili kumekuwepo mjadala mkali sana katika mitandao ya kijamii huku Wakenya wenye ghadhabu wakiishambulia serikali...

TAHARIRI: Wadau wasikubali propaganda duni zitumike kuharibu mahusiano mema

NA MHARIRI MAAFISA wa kitengo cha Jinai (DCI) jana Jumatatu walimwalika mwanasiasa Stanley Livondo. Mwaliko huo ulikuwa wa kuchukua...

TAHARIRI: Tuwachuje wanasiasa kwa makini mara hii

NA MHARIRI KIPINDI cha pili cha mfumo wa ugatuzi kinapoelekea kukamilika kuna baadhi ya kaunti ambazo hazijaonja matunda ya utawala wa...

TAHARIRI: Serikali inafanya mzaha na mtaala wa CBC

NA MHARIRI INASIKITISHA kuwa huku inaposalia miezi 11 pekee kabla ya mkumbo wa kwanza wa wanafunzi wanaosoma chini ya Mtaala mpya wa...

TAHARIRI: Wadau wakuu sasa fanyeni jambo Stars irejee kileleni

NA MHARIRI KIPUTE cha Kombe la Afrika (AFCON) kinapokamilika kesho kwa mchuano wa ndovu kumla mwanawe baina ya Senegal na Misri,...