• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:55 AM

TAHARIRI: Wanasiasa wamemaliza yao, uamuzi sasa ni wako

NA MHARIRI HATIMAYE, kampeni ambazo zilikuwa zimeteka taifa katika miezi sita iliyopita zimefikia tamati. Baada ya kukurukakara...

TAHARIRI: Twapongeza wanariadha wetu kuletea Kenya fahari

NA MHARIRI NI heshima ya kipekee kwa kila Mkenya kushuhudia mwenzao akisifiwa na kutambuliwa kote duniani kwa kuwa bora zaidi katika...

TAHARIRI: Sote tuwe washindi katika kura juma lijalo

NA MHARIRI HARAKATI ya maandalizi ya uchaguzi mkuu uliosubiriwa kwa hamu na ghamu imekamilika. Kampeni zote zinaisha kesho Jumamosi...

TAHARIRI: Uamuzi wa kufunga shule ghafla hakika utatatiza wengi

NA MHARIRI UAMUZI wa Wizara ya Elimu kutangaza ghafla kwamba shule zifungwe leo Jumanne, unaashiria uwezekano wa kuwa kuna ukosefu wa...

TAHARIRI: Kuficha unga wa mahindi ni hujuma

NA MHARIRI UFICHUZI wa Waziri wa Kilimo Peter Munya kwamba baadhi ya wafanyabiashara wanaficha unga wa mahindi wa bei nafuu huku Wakenya...

TAHARIRI: Uhaba huu wa vyakula ni fedheha kwa Kenya

NA MHARIRI IMEKUWA kama desturi kwa Kenya kushuhudia uhaba wa bidhaa za vyakula, ambao punde baadaye hufuatwa na kuagiza shehena...

TAHARIRI: IEBC iwatoe shaka wananchi kuhusu mgeni kumiliki vifaa vya uchaguzi

NA MHARIRI MZOZO unaoendelea kuhusu kukamatwa kwa mshukiwa kutoka Venezuela akiwa na vifaa vya uchaguzi unahitaji ufumbuzi wa...

TAHARIRI: Wahalifu wasitumie mahakama kama ngao

NA MHARIRI HATUA ya Mahakama ya Rufaa kuonya wanasiasa wanaokumbwa na mashtaka kutumia mbinu za kijanja kuidhinishwa na Tume Huru ya...

TAHARIRI: Mjadala wa urais una faida kwa wawaniaji na si busara kuuhepa

NA MHARIRI KESHO Jumanne, Wakenya watapata fursa ya kuwaweka kwenye mizani wanaotaka kuwa manaibu wa rais Agosti 9. Justina Wambui...

TAHARIRI: Wanasiasa wadumishe nidhamu katika siasa

NA MHARIRI KENYA imechukua mkondo mbaya wa kupiga siasa chafu katika kampeni zake. Uhasama unaodhihirika sasa hivi katika kampeni za...

TAHARIRI: Wakenya watatoa uamuzi wa mwisho kuhusu wanasiasa wanaotiliwa shaka

NA MHARIRI UAMUZI wa Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu jana kwamba aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko anaweza kuwania ugavana,...

TAHARIRI: IEBC iwe makini zaidi inapojiandaa kwa uchaguzi

NA MHARIRI TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), inafaa kuwa makini zaidi kuanzia sasa inapojiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti...