• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:07 PM

Man City, Barcelona, Liverpool au Juventus pazuri kunyakua UEFA

NA CHRIS ADUNGO UPO uwezekano mkubwa kwa mshindi wa taji la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) muhula huu kutokea nchini Uingereza. Klabu hiyo ni...

De Bruyne mwingi wa mizungu, ana hela kama majani ya mkuyu

Na CHRIS ADUNGO KEVIN De Bruyne, 27, ni kiungo mvamizi wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji. Nyota huyo ni miongoni mwa...

Kichapo kutoka kwa Man-City hakina uwezo wa kuzima ari ya Liverpool EPL

NA CHRIS ADUNGO INGAWA kichapo cha 2-1 ambacho Liverpool walipokezwa na Manchester City ligini Alhamisi iliyopita ni pigo kubwa, nahisi...

EPL: Breki kwa Liverpool Etihad

MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER, Uingereza: Pep Guardiola alivulia kofia nyota wake wa Manchester City kwa kuonyesha ujasiri mkubwa kwa...

MOKAYA: Man City ikipigwa tena, yake kwisha

NA JOB MOKAYA KUNA msemo wa Uswahilini usemao kwamba kaa akiinua gando yamekatika. Kaa ni mnyama wa baharini mwenye gando au sehemu...

Mahrez anusia tuzo ya mchezaji bora kikosini Man City

NA CECIL ODONGO MCHEZAJI ghali zaidi kwenye kikosi cha mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza Manchester City, Riyad Mahrez...

Klopp amfunza Guardiola gozi la UEFA

Na CHRIS ADUNGO LIVERPOOL wamejikatia tiketi ya nusu fainali ya UEFA,Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuiengua Man City 5-1 kijumla kufuatia...

Lazima tuzime mashambulizi ya Liverpool, asema Guardiola

Na CHRIS ADUNGO MAN City wanaikaribisha Liverpool uwanjani Etihad kujaribu kubadilisha kibao cha ushindi wa 3-0 wa vijana wa Jurgen...

Msiidhalilishe Man City, Klopp aonya

Na CHRIS ADUNGO KIPIGO cha 3-0 kwenye robo fainali za Klabu Bingwa Ulaya kilitangulia kingine cha 3-2 kwenye debi ya Manchester baada ya...

Liverpool kuvaana na Man City kwenye robo fainali UEFA

Na CECIL ODONGO KIPUTE cha kuwania ubingwa wa soka Bara Uropa kinatarajiwa kunogeshwa zaidi baada ya ratiba inayoshirikisha timu...

Pep ammiminia sifa tele mvamizi mwiba Aguero

[caption id="attachment_1262" align="aligncenter" width="800"] Sergio Aguero (kushoto) asherehekea na wenzake baada ya kufungia Manchester...