• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 12:36 PM

Saba wauawa raia wa Sudan wakianza upya maandamano

Na MASHIRIKA WATU saba waliuawa wakati maelfu ya raia walijitokeza kushiriki maandamano ya kushinikiza baraza la kijeshi linaloongoza...

Shinikizo jeshi liachilie mamlaka kuanza Juni 30

Na MASHIRIKA KHARTOUM, Sudan VIONGOZI wa waandamanaji wametangaza kuwa wataanza maandamano tena baada ya Baraza la Kijeshi...

Jeshi lazua hofu jijini baada ya Sudan kuondolewa katika AU

Na MASHIRIKA KHARTOUM, Sudan MAAFISA wa usalama waliokuwa na silaha kali waliendelea kuzunguka jiji kuu la Sudan na kufanya wakazi...

Upinzani Sudan wakataa mazungumzo na wanajeshi

Na AFP VIONGOZI wa upinzani nchini Sudan wamekataa kushiriki mazungumzo na Baraza Tawala la Kijeshi (TMC) na kuitisha haki kufuatia...

Jeshi lawaua raia 13 nje ya makao yake

Na MASHIRIKA KHARTOUM, SUDAN WAANDAMANAJI 13 waliuawa kwa kupigwa risasi Jumatatu na wanajeshi waliokuwa wakijaribu kutawanya kundi...

SUDAN: Waandamanaji na jeshi kurejelea majadiliano

NA AFP VIONGOZI wa waandamanaji nchini Sudan, jana walitangaza kwamba majadiliano yaliyokuwa yamesitishwa kati yao na viongozi wa...

Jeshi latangaza mageuzi mapya Sudan japo presha ya raia ingalipo

Na MASHIRIKA BARAZA tawala la kijeshi nchini Sudan limetangaza harakati mpya za mageuzi yanayolenga kuwaridhisha waandamanaji ambao...

Bashir ajiuzulu, waziri afunga anga na mipaka

MASHIRIKA NA DANIEL OGETTA RAIS wa Sudan, Hassan Umar Al-Bashir hatimaye amejiuzulu kufuatia migomo ya kila mara iliyosababishwa na bei...

Waandamanaji Sudan wakaidi hali ya hatari

Na MASHIRIKA WAANDAMANAJI nchini Sudan wamesisitiza kuendelea kukaidi agizo la Rais Omar al-Bashir la kusitisha maandamano dhidi yake...

SIASA ZA SUDAN: Hali halisi ya utovu wa demokrasia

NA TAREK CHEIKH  Uasi dhidi ya serikali unasambaa kote nchini Sudan. Kilichoko hatarini si hatima ya Rais Omar al-Bashir pekee, bali...

Maandamano yachacha Sudan, 800 wakamatwa

MASHIRIKA NA PETER MBURU ZAIDI ya watu 800 wametiwa mbaroni katika maandamano ya pingamizi dhidi ya serikali nchini Sudan, waziri mmoja wa...

Rais wa Sudan awapiga kalamu mawaziri wote

MASHIRIKA NA PETER MBURU KHARTOUM, SUDAN Rais wa Sudan Omar al-Bashir amefuta mawaziri 31 wa nchi hiyo na kuteua Waziri Mkuu mpya ambaye...