• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Viambajengo muhimu katika nadharia ya umilisi wa kiisimu

Na MARY WANGARI KADRI mwanafunzi anavyozidi kusoma na kujiendeleza kielimu ndivyo kuimarika au kushuka kwa kiwango chake cha umilisi wa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Ubantu na Uarabu wa Vivumishi vya idadi

Na CHRIS ADUNGO INGAWA nadharia pekee inayosomeshwa vyuoni ni kwamba Kiswahili ni Kibantu kwa asili na kwa dhati yake, bado kuna hoja...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Umuhimu wa tafiti kuhusu umilisi wa lugha katika ufundishaji wa Kiswahili

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa Mcmanara (2000), mitihani ya umilisi wa mawasiliano inafaa kupima uwezo wa mzungumzaji katika kiwango cha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nafasi ya umilisi wa lugha ya Kiswahili katika uwanja mpana wa kiakademia

Na MARY WANGARI KWA kawaida matumizi ya lugha ya Kiswahili hasa nchini Kenya hujitokeza katika mazingira yenye wingi-lugha kwa maana...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sifa zinazofanya isimu kuwa sayansi ya lugha

Na CHRIS ADUNGO KATIKA hali ya kawaida, utakuta kwamba ni mazoea kwa mtu kusema “mimi ninajua lugha” au “hawa hawajui...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Ufafanuzi wa wataalam kuhusu dhana ya umilisi wa lugha na isimu

Na MARY WANGARI JINSI tulivyojifahamisha, kuna mbinu nyingi za kukadiria umilisi katika lugha ya Kiswahili au lugha yoyote ile kwa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia tumizi ya uakifishaji katika lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI MWANAISIMU Leech (1983) akifafanua Nadharia Tumizi ya Uakifishaji iliyoasisiwa na Meyer (1989), anasema kuwa lugha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana na dhima ya vivumishi katika Kiswahili

Na MARY WANGARI JINSI tulivyofafanua vielezi vya namna huelezea jinsi au namna kitendo kilivyofanyika. Hata hivyo, baadhi ya wataalam...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhima na aina ya vielezi katika Kiswahili

Na MARY WANGARI VIELEZI vya namna hufafanua jinsi au namna kitendo kinavyofanyika. Kitendo kinaweza kufanyika kwa namna mbalimbali...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kiswahili kama fumbato la desturi na itikadi za jamii

Na CHRIS ADUNGO LUGHA hubadilika kadri jamii inavyobadilika. Kama sehemu ya utamaduni, lugha ni amali ya jamii inayoizungumza na ina...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mbinu za usawiri wa wahusika

Na MARY WANGARI WAMITILA (2002) anaeleza kwamba mwandishi au msanii anaweza kutumia njia kadhaa na tofauti katika kuwasawiri wahusika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uhusika wa mhusika katika kazi za fasihi

Na MARY WANGARI WAHUSIKA katika hadithi ni mhimili mkubwa katika vipera vya fasihi: fasihi andishi na fasihi simulizi. Kulingana na...