• Nairobi
  • Last Updated May 11th, 2024 7:15 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana na dhima ya wahusika katika kazi za fasihi

Na MARY WANGARI KATIKA makala ya leo, tutajadili kuhusu mbinu ya wahusika katika usanifu wa kazi za fasihi kwa kuchambua fasili anuwai...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Aina mbili za ukweli wa kisanaa katika Fasihi

Na ALEX NGURE MWANADAMU ndiye muumba wa kazi ya fasihi na yeye ndiye aiwasilishaye kazi hiyo ya fasihi; na yeye ndiye anayeishi maisha...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Jinsi unavyotakiwa kutumia alama mbalimbali za uakifishaji

Na MARY WANGARI Herufi kubwa MAJINA ya vyeo vya watu au heshima kwa mfano: Rais, Naibu Rais, Waziri, Gavana Seneta, Diwani, Profesa,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mazungumzo hujitokeza kama mtagusano wa kimaneno

Na CHRIS ADUNGO ISTILAHI ‘mazungumzo’ inatumiwa sana katika miktadha isiyo ya kitaaluma kwa kuwa ni mawasiliano semwa yasiyo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia na aina za uhakiki katika Fasihi

Na WANDERI KAMAU UHAKIKI huwa kiungo muhimu sana katika kazi za fasihi. Katika makala iliyopita, tuliangazia mwoano wa fasihi na uhakiki...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Kumakinikia kisa kikuu ndiyo njia pekee ya kuibuka na riwaya ya kufana

Na ENOCK NYARIKI SIFA mojawapo ya riwaya ni kuwa na visa vingi ambavyo huungana ili kuunda hadithi kuu. Ijapokuwa visa huwa vingi,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Methali na misemo ya Abagusii inayochipukia katika ngano – 2

Na ENOCK NYARIKI SUALA lililojitokeza wazi katika mjadala wetu wa awali ni kuwa kuna mshabaha mkubwa baina ya baadhi ya misemo na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Msambao wa Kiswahili Uganda kabla ya Ukoloni

Na WANDERI KAMAU HISTORIA ya maendeleo na usanifishaji wa Kiswahili pamoja na shughuli za Kamati ya Kiswahili ya Afrika Mashariki...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Teknolojia ya lugha ina umuhimu gani kwa Kiswahili katika Karne ya 21?

Na MARY WANGARI NINI umuhimu wa teknolojia ya lugha kwa Kiswahili katika karne hii? Teknolojia ya lugha ni suala la kisasa katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Othografia katika Kiswahili: Sehemu ya Kwanza

Na WANDERI KAMAU KATIKA utangulizi wa kitabu 'A Handbook of the Swahili Language', Askofu Adam Steere alijadili suala la tahajia au hati...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mchakato wa utafiti katika utamaduni wa Kiswahili

Na MARY WANGARI ILI kufanikisha tafiti kuhusu utamaduni wa Kiswahili, kazi mbalimbali zimehusika ambazo ni pamoja na kitabu cha 'Tungo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mwingiliano wa Kiswahili, Kibantu

Na WANDERI KAMAU KATIKA jumla ya masuala yanayohusu lugha ya Kiswahili, hasa uhusiano wake na lugha zingine, uhusiano uliopo baina yake...