• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 9:48 PM

JARED OUNDO: Anahakikisha vijana wamesalia nguzo ya jamii

NA PAULINE ONGAJI Alianza kujihusisha na masuala ya kunasihi vijana akiwa katika kidato cha pili na miaka kumi baadaye mchango wake...

Ukimwi: Maambukizi kwa vijana yanatisha

VERAH OKEYO na ANGELA OKETCH WATAFITI na wataalamu wa afya wanaadhimisha Siku ya Ukimwi Ulimwenguni hii leo wakitoa wito kwa taifa...

Inavunja moyo kuona viongozi vijana wafisadi – Uhuru

RUTH MBULA Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliwaingilia vijana walio katika nafasi za uongozi akisema wale waliokabidhiwa...

TAHARIRI: Wadau watatue shida za vijana

NA MHARIRI KUONGEZEKA kwa visa vya kujitoa uhai miongoni mwa vijana ni jambo ambalo linatishia msingi na mustakabali wa jamii ya...

OBARA: Kinaya cha mwaka vijana kumrai Raila awakomboe

Na VALENTINE OBARA HAYAWI hayawi hatimaye huwa. Licha ya kilio kutoka kwa wananchi wengi hasa wenye mapato ya chini, mswada wa fedha...

Vijana wataka wabunge wapunguziwe malipo

Na OSCAR KAKAI MUUNGANO wa vijana umeitaka serikali kupunguza marupurupu ya wabunge, maseneta na madiwani pamoja na kupunguza idadi ya...

‘VIONGOZI WA KESHO’: Kaulimbiu ya UhuRuto ya kuwapa vijana kazi ilivyofeli

Na CHARLES WASONGA TANGU taifa hili lipate uhuru vijana wamekuwa wakitajwa kama, "viongozi wa kesho", lakini 'kesho' hiyo haifiki kwa...

RIPOTI: Ugatuzi bado unawapiga chenga vijana

Na CAROLYNE AGOSA ASILIMIA 60 ya vijana nchini hawafahamu jinsi mfumo wa ugatuzi unavyofanya kazi wala majukumu ya viongozi wao wa...

Afueni kwa vijana bunge kuwaondolea visiki vya kupata ajira

Na CHARLES WASONGA BUNGE Jumatano lilipitisha hoja inayopendekeza kupiga marufuku vijana kutozwa ada ya kulipia vyeti vinavyohitajika...

Vijana wapanga kuvumisha utamaduni

Na KAZUNGU SAMUEL BARAZA la vijana kuhusu turathi na utamaduni Jumapili lilisema kwamba litaanzisha mikakati kabambe ya kuvumisha...

Baa zote zafungwa kulazimisha vijana kuoa

NA PETER MBURU Viongozi wa usalama kutoka eneo la Koibatek, Baringo wamefunga baa zote pamoja na maduka mengine ya kuuzia pombe, baada ya...

Vijana tumieni vyema Sh200 bilioni za serikali kujinufaisha – Wamalwa

Na BERNARDINE MUTANU WAZIRI wa Ugatuzi na Maeneo Kavu (ASALS) Eugene Wamalwa Alhamisi amewahimiza vijana kutwaa nafasi zilizotolewa na...