• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Salasya akwepa swali kuhusu mabadiliko ya tabianchi

NA RICHARD MAOSI MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya amewashangaza Wakenya na watumiaji wengine wa mitandao ya kijamii kwa...

Harusi yetu tuliita watu 50 pekee, si uchoyo, ni vile hatukutaka makeke

NA WANGU KANURI DUNIANI sherehe kubwa haswa za harusi zimepewa kipaumbele huku umati mkubwa ukifurika ukumbi huo wa harusi. Hata...

Betty Njeri: Mkome kutembea na pini za kutia pancha penzi letu

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Murang'a Bi Betty Njeri Maina amesema Ijumaa, Septemba 1, 2023, kwamba baadhi...

Fahamu tamaduni za jamii ya Wanubi

NA FARHIYA HUSSEIN KATIKA eneo la Changamwe, Kaunti ya Mombasa, sauti zinasikika za watu wakipiga vigelegele, makofi na kuimba nyimbo za...

Ababu ataka wabaya wa Azziad wakome kuzua madai ya uongo dhidi yake

NA RICHARD MAOSI WAZIRI wa Michezo Ababu Namwamba amevunja ukimya na kuweka wazi kwamba kivyovyote vile, hayuko kwenye uhusiano wa...

Karen Nyamu: Kupata dhahabu ni rahisi kuliko mwanamume

NA SAMMY WAWERU SENETA maalum Karen Nyamu, amegeuka kuwa gumzo la mitandao ya kijamii kufuatia ujumbe tata alioandika kuhusu alichokuwa...

Bahati amkingia mkewe Diana dhidi ya kimbunga cha picha mitandaoni

NA RICHARD MAOSI MSANII Kevin Kioko almaarufu Bahati, amemkinga mpenzi wake Diana Marua, dhidi ya mashambulizi makali mitandaoni, kuhusu...

KASHESHE: Utalipia Sh50,000 kufuatilia maisha ya Akothee

NA MERCY KOSKEI MWANAMUZIKI na mfanyabiashara Esther Akoth almaarufu Akothee, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kutangaza kuwa yeye na...

Linda Njoki: Siwezi nikalia kwa sababu ya mapenzi

NA JOHN KIMWERE MSANII Linda Njoki Kinyita ni mmojawapo wa wasanii wanaoendelea kusukuma gurudumu katika tasnia ya uigizaji huku...

Mapenzi jamani! Huyu unayempenda anampenda yule

NA JOHN KIMWERE JOYLEEN Akware Emojong ni mmojawapo wa waigizaji wa kike wanaopania kutinga hadhi ya kimataifa miaka ijayo akifahamu...

Usipotumia talanta yako kitakuramba, asema mwigizaji Micere

NA JOHN KIMWERE  'MGAAGAA na upwa hali wali mkavu' ni methali inayomhimiza mja kutovunjika moyo kwenye jitihada za kufukuzia malengo...

Mzaha mzaha huzaa talanta

NA JOHN KIMWERE KILA mwanadamu anapenda maendeleo pia kuibuka stadi katika taaluma yake. Hilo halina ubishi kabisa. Wengi wanazidi...