• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 2:33 PM

HUKU USWAHILINI: Usishangae kuona tukichakata ubongo kupita kiasi Uswahilini

NA SIZARINA HAMISI USWAHILINI kuna mengi ambayo wale wasioishi huku wanaweza wasielewe. Kikubwa huku kwetu ni matumizi makubwa ya...

HUKU USWAHILINI: Ugomvi nyumbani ni burudani mtaa mzima

NA SIZARINA HAMISI IWAPO unaishi Uswahilini bila shaka umeshakutana na kunguru weusi. Wale kunguru ambao wamekithiri kwa wizi kama...

HUKU USWAHILINI: Leo nakupasha ya Andunje, mfupi wa kimo ila kwa makeke ni noma!

NA SIZARINA HAMISI KAWAIDA wanawake wengi huwa na matarajio na mtazamo wa mwanamume ambaye anafaa kuwa kwenye uhusiano. Nao wengi...

HUKU USWAHILINI: Si ajabu mwanamume kutoroka kwake, kisa vituko vya mamkwe

NA SIZARINA HAMISI KAMA ilivyo kwa wenzetu huko Uzunguni, huku kwetu Uswahilini pia tunakutana na changamoto za ndugu kutaka kujazana...

HUKU USWAHILINI: Corona imeanika mikataba feki ya mapenzi huku kwetu

NA SIZARINA HAMISI HUKU Uswahilini kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu nyingi za kiuchumi, kutiliana shaka na hata kutengana yamekuwa...

HUKU USWAHILINI: Huku kwetu siku zote purukushani!

NA SIZARINA HAMISI MAISHA ya Uswahilini siku zote ni purukushani. Kwani hata ukimsaidia jirani yako chakula, omba kisije kikamdhuru....

HUKU USWAHILINI: Hata sisi tumepigwa na hii corona, haijakuwa mchezo

Na SIZARINA HAMISI HUKU Uswahilini janga la corona halijatupita kando. Ingawa wengi ni wabishi wanaposhauriwa kujikinga na janga...

HUKU USWAHILINI: Biashara kwetu zina raha zake

Na SIZARINA HAMISI BINAFSI, nimezaliwa katika familia ya akina dada wa kutosha. Binti azizi mmoja, dada wanne, mama mmoja, nyanya...

HUKU USWAHILINI: Wema kupitiliza utapikiwa majungu

Na SIZARINA HAMISI HUKU Uswahilini, wengi wetu tunaishi nyumba za kupanga. Kwamba katika nyumba moja tumeshazoea kuishi familia zaidi...