• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Msichague ‘maadui’ wa serikali – Kibicho

Na WAWERU WAIRIMU KATIBU wa Wizara ya Usalama wa Ndani, Karanja Kibicho, amewarai Wakenya kuwachagua viongozi wanaomuunga mkono Rais...

Kibicho alalama kuhusu idadi ndogo ya watu waliojisajili

Na GEORGE MUNENE KATIBU wa Usalama wa Ndani, Bw Karanja Kibicho, amelalamikia idadi ya chini ya vijana ambao wamejitokeza kujisajili...

Sherehe zatuliza vita vya ubabe Kirinyaga

KENNEDY KIMANTHI na GEORGE MUNENE SAWA na kaunti nyingine, Kaunti ya Kirinyaga inayoandaa sherehe za Mashujaa Dei mwaka huu 2021,...

Kibicho aonya wahuni wanaopanga kusambaratisha sherehe za Mashujaa Kirinyaga

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imetoa onyo kali kwa wahuni wanaopanga kuzua fujo wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Mashujaa 2021,...

Sherehe za Mashujaa marufuku kaunti 46

Na GEORGE MUNENE SERIKALI imepiga marufuku sherehe za Mashujaa katika kaunti zote 46 katika juhudi za kuzuia maambukizi ya virusi vya...

Serikali yatangaza vita na watengenezaji pombe haramu Mlima Kenya

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kukabiliana na unywaji wa pombe na dawa za kulevya ili kuokoa kizazi kijacho, amesema katibu katika...

Watu 10,000 pekee kuhudhuria sherehe za Mashujaa Kirinyaga

Na GEORGE MUNENE WATU 10,000 pekee ndio wanaotarajiwa kuhudhuria sherehe za Mashujaa ambazo zitafanyika Oktoba 20 katika uga wa...

Machifu sasa kulipwa pesa za kuinua motisha

Na CECIL ODONGO MAAFISA wa utawala wamevuna marupurupu makubwa baada ya Tume ya Uajiri wa Watumishi wa Umma (PSC) kuidhinisha walipwe...

Watatoboa siasani?

Na WAANDISHI WETU KIVULI cha utawala wa Jubilee huenda kikadumu katika serikali ijayo huku maafisa wakuu wa serikali ambao ni waaminifu...

Wanasiasa wachochezi kukabiliwa vikali

Na RUTH MBULA WIZARA ya Usalama wa Ndani inabuni kanuni itakayohakikisha kuwa taifa halitatumbukia kwenye ghasia jinsi ilivyoshuhudiwa...

Wamlilia Kibicho kuhusu genge Maragua

Na MWANDISHI WETU WENYEJI wa Murang’a Kusini wamemtaka Katibu wa Usalama wa Ndani Karanja Kibicho atume kikosi maalum cha kupambana na...