• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 5:55 AM

Changamoto za kiufundi zachelewesha mpango wa kadi za kielektroniki kwa wavuvi

Na KALUME KAZUNGU MASWALI yameibuka baada ya kubainika kuwa mpango wa serikali kuwapa wavuvi wa Kaunti ya Lamu vitambulisho maalumu vya...

Serikali yafanya ukaguzi wa shule Nakuru

Na RICHARD MAOSI KATIBU wa kudumu katika Wizara ya Elimu anayeweka zingatio kwa elimu ya msingi Dkt Julius Jwan, Jumatatu ameongoza...

Chai: Bomet yapata soko Iran

Na KENYA NEWS AGENCY SERIKALI ya Kaunti ya Bomet kwa ushirikiano na kampuni za eneo hilo itauza majanichai yanayokuzwa kaunti hiyo moja...

Thierry Neuville amwaga Sh257,000 milioni kusaidia ndovu na vifaru kulindwa

Na GEOFFREY ANENE MATUNDA ya Safari Rally yaendelea kuingia baada ya dereva nyota Thierry Neuville kutangaza kusaidia shirika la kulinda...

Serikali kuhakikisha wakazi wa mitaa ya mabanda wanapata stima salama

Na SAMMY KIMATU SERIKALI imepanga mikakati ya kuwapatia wananchi stima iliyo safi na salama. Mkuu wa tarafa ya South B, Kaunti ya...

Ukambi: Wazazi wahimizwa wakumbatie chanjo

Na KENYA NEWS AGENCY WAZAZI wametakiwa kupeleka watoto wao wa umri kati ya miezi tisa na 59 kudungwa chanjo ya kuzuia ugonjwa wa ukambi...

Wanafunzi 30 wapokea ufadhili kutoka kwa MKU

LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wapatao 30 kutoka Shule ya Msingi ya Kamenu mjini Thika wamenufaika na ufadhili kutoka kwa Chuo Kikuu cha...

Madaktari na maafisa bandia wa mifugo Kiambu kuadhibiwa vikali – Nyoro

Na SAMMY WAWERU GAVANA wa Kiambu James Nyoro ametoa onyo kali kwa madaktari na maafisa bandia wa mifugo wanaohangaisha wafugaji na...

Drama washukiwa wa utekaji nyara wakinaswa

Na WAIKWA MAINA MWAMUME na mpenziwe wanaohusishwa na utekaji nyara na kuteswa kwa mfanyabiashara wa Kamukunji, Nairobi, Bi Hafsa Mohamed...

Hofu bwanyenye mwingine mashuhuri akiuawa

Na JOHN NJOROGE UTATA unaendelea kuzingira kifo cha mfanyabiashara na mkurugenzi wa kampuni moja ya maua, Justus Metho Muinde katika...

LEONARD ONYANGO: Watoto wa mitaani wasidhulumiwe kwa jina la kusafisha mji

Na LEONARD ONYANGO WATOTO wa mitaani, almaarufu chokoraa, wanaorandaranda katikati mwa jiji la Nairobi, Jumatano jioni, walijipata...

Waziri Mkuu wa Algeria ajiuzulu

Na XINHUA Tafsiri: CHARLES WASONGA ALGIERS, Algeria, WAZIRI Mkuu wa Algeria Abdelazizi Djerad na wanachama wa baraza lake la...