• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:00 PM

Mdahalo: Wawaniaji ugavana wafafanulia wakazi wa Kiambu ajenda zao

NA LAWRENCE ONGARO WAWANIAJI wanne wa kiti cha ugavana katika Kaunti ya Kiambu walihojiwa na kituo cha habari cha Citizen ambapo...

Digrii: Afueni kwa Jumwa korti ikikataa ombi la kumzuia kuwania

PHILIP MUYANGA NA WINNIE ATIENO MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, ameshinda awamu ya kwanza ya kesi inayopinga azma yake ya kuwania...

Wajackoyah apata mpiga debe anayemfanana

NA GEORGE ODIWUOR MWANAMUME mmoja katika Kaunti ya Homa Bay anayefanana na mwaniaji wa Urais, George Wajackoyah amewavutia watu wengi...

Mpasuko Azimio kuhusu ‘mchujo’

NA LEONARD ONYANGO MVUTANO umeibuka ndani ya muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya kutokana na pendekezo la kuwatema baadhi ya wawaniaji...

Masaibu ya Sonko sasa yachochea marekebisho kwenye Katiba

NA WINNIE ATIENO MASAIBU yanayomkumba aliyekuwa gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko, kwa kubanduliwa mamlakani mwaka wa 2020, yameanza...

KINYANG’ANYIRO 2022: Kaunti ya Kakamega

Kakamega ni kaunti nambari 037 iliyo magharibi mwa Kenya. UKUBWA: Kilomita 3034 mraba IDADI YA WATU: 1,867,579 kulingana na ripoti ya...

Ruto, Raila walenga kudhibiti mabunge

NA CHARLES WASONGA WAGOMBEAJI wakuu wa urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, Naibu Rais William Ruto (UDA) na Bw Raila Odinga (Azimio),...

Uhuru ajipanga asitikiswe na Karua Mlimani

NA MWANGI MUIRURI RAIS Uhuru Kenyatta anaonekana kuweka mikakati ya kuhakikisha Jubilee inatamba eneo la Mlima Kenya katika uchaguzi...

Karata ya hesabu

NA LEONARD ONYANGO WASHINDANI wakuu katika kinyang’anyiro cha urais; Naibu wa Rais William Ruto na kinara wa Azimio Raila Odinga...

IEBC yaita wawaniaji Jumatano

NA CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaalika wagombea urais wote wanne kwa mkutano wa kujadili masuala...

Oparanya akaripia Mudavadi, Weta’ kuhusu maendeleo

NA BENSON AMADALA GAVANA wa Kakamega, Wycliffe Oparanya, amemtaka kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya, Moses...

Safari ya mgombeaji urais wa Roots kutoka Uganda hadi alipo sasa

NA WANDERI KAMAU MWANIAJI urais George Wajackoyah alizaliwa mnamo Oktoba 24, 1959 katika Hospitali ya St Mary’s, jijini Jinja, nchini...