• Nairobi
  • Last Updated May 22nd, 2024 5:30 PM

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Ronaldo aweka rekodi mpya ya ufungaji mabao katika Kombe la Dunia na kusaidia Ureno kupepeta Ghana katika Kundi H

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kuwahi kufunga bao katika fainali tano za Kombe la Dunia baada ya...

Man-United wampa Ronaldo makataa ya kurejea kambini au la, atemwe kabisa kikosini

Na MASHIRIKA KOCHA Erik ten Hag amempa Cristiano Ronaldo hadi mwisho wa wiki hii kujiunga na wenzake kambini mwa Man-United au la,...

Ronaldo na mchumba wake Georgina waomboleza baada ya mtoto wao wa kiume kufariki

Na MASHIRIKA FOWADI wa Manchester United, Cristiano Ronaldo na mchumba wake Georgina Rodriguez wametangaza kufariki kwa mtoto wao wa...

Ronaldo abeba Man-United dhidi ya Tottenham ligini

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo, 37, alifungia Manchester United mabao matatu katika mchuano mmoja kwa mara ya kwanza katika kipindi cha...

Ronaldo atuzwa Dubai kwa ubabe wake katika ufungaji wa mabao

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alituzwa taji la mfungaji bora wa muda wote duniani almaarufu Globe Soccer's Top Scorer of All Time mnamo...

Man-United wapepeta Burnley na kurukia nafasi ya sita kwenye jedwali la EPL

Na MASHIRIKA MANCHESTER United walifunga mabao matatu katika kipindi cha kwanza kwa mara ya kwanza tangu Januari 2021 katika Ligi Kuu ya...

Ronaldo aweka rekodi ya ufungaji mabao na kusaidia Man-United kupepeta Arsenal ligini

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alifunga bao lake la 800 kitaaluma kabla ya kufuma wavuni penalti iliyowavunia waajiri wake Manchester...

Sasa Man-United yakanusha madai kumhusu Ronaldo

MANCHESTER, Uingereza Na MASHIRIKA KLABU ya Manchester United imekanusha madai kwamba inapanga kumpa Cristiano Ronaldo jukumu la kuwa...

Ronaldo aokoa Manchester United kinywani mwa Atalanta katika soka ya bara Ulaya nchini Italia

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alibeba Manchester United kwa mara nyingine baada ya kufunga bao la dakika za mwisho lililowawezesha...

Man-United watoka nyuma na kuzamisha chombo cha Atalanta ugani Old Trafford

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo alifunga bao mwishoni mwa kipindi cha pili katika mchuano ulioshuhudia waajiri wake Manchester United...

Ronaldo aendeleza rekodi ya ufungaji bora baada ya kusaidia Ureno kunyuka Qatar

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI matata wa Manchester United, Cristiano Ronaldo, alipachika wavuni bao lake la 112 kimataifa na kuwezesha Ureno...

Ronaldo afikia rekodi ya Rooney ya kutawazwa Mchezaji Bora wa Mwezi katika EPL mara tano akivalia jezi za Man-United

Na MASHIRIKA CRISTIANO Ronaldo ametawazwa Mchezaji Bora wa Septemba 2021 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Nyota huyo raia wa Ureno...