• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 3:25 PM

Wabunge wahimiza wazazi walinde watoto wao

NA MWANDISHI WETU MBUNGE wa Lunga Lunga Khatib Mwashetani (pichani) na mwenzake wa Jomvu Bw Badi Twalib wamewasihi wazazi kuwalinda...

EACC kutwaa mali ya wenye vyeti ghushi

NA KNA TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imeahidi kuwa itatwaa pesa na mali kutoka kwa wale ambao walitumia vyeti...

Mjukuu wa Moi aandamwa na mke waliyetalikiana agharimie zaidi malezi ya watoto

NA JOSEPH OPENDA MJUKUU wa marehemu Daniel Moi, Bw Collins Kibet, bado anakumbwa na masaibu baada ya mkewe waliyetengana kukata rufaa...

Mahujaji 3,000 kusafiri Mecca, Covid ikifungia wengine

NA FARHIYA HUSSEIN TAKRIBAN Wakenya 3,000 mwaka huu watashiriki maombi ya Hija ya kila mwaka Mecca, Saudi Arabia kuungana na Waislamu...

Serikali ya Tanzania yakemea ulanguzi wa watoto walemavu

NA WINNIE ONYANDO SERIKALI ya Tanzania imeelezea masikitiko yake kuhusu filamu iliyopeperushwa na BBC ikionyesha jinsi walanguzi wa...

Tume yatangaza nafasi elfu 14 za kazi ya ualimu

NA DAVID MUCHUNGUH TUME ya Kuajiri Walimu (TSC) imetangaza nafasi 14,460 za kazi ya ualimu katika shule za msingi na upili...

Aliyening’inia kwa ndege kushtakiwa leo Jumatatu kwa jaribio la kujitoa uhai

NA GITONGA MARETE MWANAUME ambaye alining'inia kwenye helikopta ambayo ilimbeba Waziri wa Kilimo Peter Munya mnamo Jumatano, atashtakiwa...

ODM yalaumiwa kuhusu uongozi wa Joho, Kingi

NA WAANDISHI WETU WAGOMBEAJI ugavana kupitia Chama cha ODM katika Kaunti za Mombasa na Kilifi, wanajitahidi kujitenga na madai ya...

KRA yazindua mfumo wa kuunganisha risiti za biashara na mashine zake

NA WANDERI KAMAU MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru (KRA) imezindua mfumo utakaounganisha risiti za biashara na mashine zake za kukusanya...

Wataalam sasa wataka wanafunzi wa umri wa miaka 15 kupatiwa kondomu na dawa za kuzuia mimba

Na WINNIE ATIENO WATAALAM wa Afya na washikadau katika sekta hiyo wameisihi serikali kuanza kuwapa wanafunzi ambao wanaojihusisha na...

Kampuni yakanusha madai ya ubaguzi wa rangi kwa waajiriwa

NA DAN OGETTA KAMPUNI moja ya bima nchini imekanusha madai kwamba, baadhi ya maafisa wake wanatumia matamshi ya ubaguzi wa rangi...

Wakazi wa Kiambu wapatao 50,000 kupokea hatimiliki za ardhi

NA LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kiambu wapatao 50,000 wameahidiwa kwamba watapokea hatimiliki za mashamba yao katika kipindi cha siku...