• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:55 AM

Wataalamu Nyandarua wahimizwa kurejea nyumbani ili ‘kuokoa jahazi’

NA WANDERI KAMAU KUMEIBUKA hofu katika Kaunti ya Nyandarua, kwamba baadhi ya wakazi wake wanaofanikiwa wanapoondoka katika kaunti hiyo,...

Mudavadi aongezewa majukumu serikalini, Gachagua akilumbana na wanasiasa Mlimani

Na BENSON MATHEKA IMANI ya Rais William Ruto kwa Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi inaendelea kudhihirika baada ya hatua yake ya kumtwika...

Spika Mwambire asisitiza Mung’aro hajageuza bunge la kaunti kikaragosi

NA ALEX KALAMA BUNGE la Kaunti ya Kilifi limetetea msimamo wake wa kushirikiana na Gavana Gideon Maitha Mung’aro, baada ya madai...

Mauaji: Kawira asisitiza ukweli utabainika, uongo uyoyomee gizani

NA WANDERI KAMAU GAVANA wa Kaunti ya Meru Kawira Mwangaza  amesisitiza kuwa ukweli utabainika kuhusu chanzo halisi cha kifo cha bloga...

Ombi la kutimua Jaji Esther Maina lawasilishwa JSC

Na RICHARD MUNGUTI OMBI la kumtimua Jaji Esther Maina anayesimamia kitengo cha Mahakama Kuu cha kuamua kesi za ufisadi limewasilishwa siku...

Ruto akataa ‘kukaliwa chapati’

BARNABAS BII Na STANLEY KIMUGE RAIS William Ruto amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na nguzo nyingine mbili za serikali ambazo ni...

Serikali yaonya wanaoshambulia walimu baada ya matokeo duni

NA WANDERI KAMAU WAZIRI wa Elimu, Bw Ezekiel Machogu, ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya wazazi au jamii zitakazopatikana...

Ulaya sasa yahofia kurejea kwa Trump mamlakani Amerika

BRUSSELS, UBELGIJI NA MASHIRIKA ALIYEKUWA Rais wa Amerika Donald Trump anatishia mataifa mengi barani Uropa kwa kuwania tena urais...

Mackenzie kufunguliwa mashtaka ya mauaji

NA WANDERI KAMAU NI rasmi sasa mhubiri Paul Mackenzie ni miongoni mwa watu 95 watakaofunguliwa mashtaka ya mauaji, kutokana na vifo tata...

Yabainika wazazi wanakarabati alama za KCPE za watoto wao ndio wapate basari

NA SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Kwale, imewaonya wazazi waliobadilisha alama ambazo watoto wao walipata kwenye Mtihani wa Kitaifa wa...

Tanzania yapiga marufuku ndege za Kenya Airways katika hatua ya kulipiza kisasi

UPDATE: Tanzania, Jumanne Januari 16, 2024 imeondoa marufuku hiyo baada ya makubaliano ya Kenya kuruhusu ndege za uchukuzi wa mizigo...

Msichana atembea 15km kujiunga na shule akiwa hana hata senti

NA SHABAN MAKOKHA MSICHANA mwenye umri wa miaka 13 kutoka eneo la Butere amewashangaza wengi baada ya kutembea umbali wa kilomita zaidi ya...