• Nairobi
  • Last Updated May 18th, 2024 6:55 AM

PENZI LA KIJANJA: Kuwa mjanja, sishindane na mtu wako!

NA BENSON MATHEKA “KUDUMISHA penzi kunahitaji ujanja kila siku, usihisi tu umetosheka kwa kuwa unapata kila kitu. Na ujanja huo...

HUKU USWAHILINI: Bwana, huwa tunajichosha huku sherehe hadi za talaka!

NA SIZARINA HAMISI WATU huku Uswahilini tumechoka. Tumechoka na shughuli ambazo hazina tija na zinatuletea jakamoyo na wakati...

MALEZI KIDIJITALI: Teknolojia inajenga na kuumbua familia vilevile

TEKNOLOJIA inatawala kila sehemu ya maisha katika karne hii na wazazi wasiokubali au kujiandaa wanaweza kuathiri malezi ya watoto wao na...

BAHARI YA MAPENZI: Mume, mke hawawezi ‘urafiki wa kawaida’

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA KWAMBA wanandoa wanaweza kuwa huru kwenda kuvinjari na marafiki zao wa jinsia tofauti wakiwa peke yao ni...

PENZI LA KIJANJA: Inauma kukataliwa lakini heri kujiondoa

NA BENSON MATHEKA NI miaka mitatu sasa na Franco anasema japo Mary hajamkubali ataendelea kumrushia mistari hadi atapoingia...

Faida anazozipata mtu kwa kula tanipu

NA MARGARET MAINA [email protected] MBOGA hii ina ladha na virutubisho vingi ambavyo ni lazima ujumuishe katika mlo wako mara kwa...

ULIMBWENDE: Jinsi ya kutumia maski mbalimbali za ndizi kwa nywele

NA MARGARET MAINA [email protected] NDIZI zina vipengele mbalimbali vya lishe ambavyo vinaweza kusaidia kurejesha nywele...

MAPISHI KIKWETU: Muhogo wa nazi

NA MARGARET MAINA [email protected] MUHOGO wa nazi ni rahisi sana kuandaa na huwa na ladha nzuri. Ni chakula ambacho kimepata...

MAPISHI KIKWETU: Kuku wa kupaka

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Saa 3 Muda wa mapishi: Dakika 40 Walaji: 3 Vinavyohitajika kuku...

Mkate wa shayiri na ndizi

NA MARGARET MAINA [email protected] IKIWA unapenda kula mkate ambao umeuoka nyumbani, mkate huu wa ndizi wenye afya ndio bora...

MAPISHI KIKWETU: Kitoweo cha nyama ya ng’ombe

NA MARGARET MAINA [email protected] Muda wa kuandaa: Dakika 20 Muda wa mapishi: Saa mbili Walaji: 3 Vinavyohitajika ...

LISHE: Vyakula vigumu kusagika mwilini

NA MARGARET MAINA [email protected] Vyakula vya wanga nyingi Kula chakula chenye wanga kinaweza kudhoofisha afya kwa muda mrefu...