• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 5:50 AM

Israel yaua wana 3 wa kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh

UKANDA WA GAZA NA MASHIRIKA WANA watatu wa kiongozi Mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh waliuawa katika shambulizi la anga lililotekelezwa na...

Zuma sasa huru kuwania urais licha ya hukumu ya uhalifu

PRETORIA, AFRIKA KUSINI NA MASHIRIKA RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma yuko huru kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwezi Mei...

Huenda mnichukie lakini lazima tuvamie Rafah, Netanyahu asema

JERUSALEM, Israel Na MASHIRIKA WAZIRI Mkuu wa Israel amesema kuwa tarehe imetengwa ya uvamizi wa mji wa Rafah kusini mwa Gaza huku...

Somalia yaambia balozi wa Ethiopia akanyage nje huku uhasama ukizidi kutokota

NA ABDULKADIR KHALIF SOMALIA imefurusha balozi wa Ethiopia nchini humo huku uhasama ukiendelea kutokota kati ya nchi hizo mbili kutokana...

Biden aendelea kumchoka kabisa Netanyahu kwa jinsi ‘anavyolipua raia’ Gaza

Na MASHIRIKA WASHINGTON, Amerika RAIS wa Amerika Joe Biden ameitaka Israel kulinda raia wa Palestina na wafanyakazi wa mashirika ya kutoa...

Aliyepandikiziwa figo ya nguruwe aruhusiwa kwenda nyumbani

WASHINGTON DC, AMERIKA NA MASHIRIKA MWANAUME wa kwanza kupandikizwa figo iliyobadilishwa vinasaba kutoka kwa nguruwe aliruhusiwa kwenda...

Spika wa Bunge ajiuzulu akitarajia kunyakwa wakati wowote kwa tuhuma za ufisadi

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI NA MASHIRIKA SPIKA wa Bunge la Afrika Kusini Bi Nosiviwe Mapisa-Nqakula alijiuzulu wadhifa wake baada ya...

Israel sasa yaondokea Hospitali ya Shifa ikiwa imeiharibu kabisa

Na MASHIRIKA JERUSALEM/CAIRO WANAJESHI wa Israel wameondoka hospitali ya Al Shifa katika mji wa Gaza City baada ya operesheni ya wiki...

Watu 12 wakamatwa kwa kula eneo la wazi mchana wa Ramadhani

NA THE CITIZEN POLISI katika eneo la Mjini Magharibi visiwani Zanzibar wamewakamata watu 12 kwa kula na kunywa maeneo ya wazi mchana wa...

Watu 45 waaga dunia nchini Afrika Kusini katika ajali barabarani

NA MASHIRIKA WATERBERG, AFRIKA KUSINI WATU 45 wameaga dunia, na mmoja akajeruhiwa, katika ajali iliyohusisha basi moja katika mkoa wa...

Tshisekedi na Kagame wakubali kukutana kujadili amani mashariki mwa DRC

NA PATRICK ILUNGA KINSHASA, DRC RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame,...

Urais Senegal: Faye amlemea mgombea wa ‘deep state’

NA MASHIRIKA DAKAR, SENEGAL MGOMBEA urais wa upinzani nchini Senegal Bassirou Diomaye Faye, anatarajiwa kutawazwa rais mpya wa taifa hilo...