• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 8:55 AM

Wapangaji nyumba za Martha wafutiwa kodi ya Januari

NA FRIDAH OKACHI BAADHI ya wapangaji katika eneo la Ongata Rongai katika Kaunti ya Kajiado wameshusha pumzi baada ya mmliki wa nyumba...

Waithaka wa Jane adai kwa muziki, wengi huzimiana nyota

NA MWANGI MUIRURI WAITHAKA wa Jane ambaye mashabiki wengi humtawaza kama Mfalme wa Mugithi kwa kumsawiri kama aliyemwondoa Samidoh...

Kivuli cha Uhuru kilivyo tishio kwa Gachagua Mlima Kenya

NA MOSES NYAMORI MKONO wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kwenye harakati za kisiasa zinazoendelea katika eneo la Mlima Kenya, unatishia...

Kiini cha hasira za Ruto kwa majaji

NA LABAAN SHABAAN PINDI aliponyanyua upanga wa mamlaka na kushika hatamu za uongozi wa taifa mnamo Septemba 13, 2022, Rais William Ruto...

‘Daudi’ Omtatah anayetutumuana na ‘magoliathi’ serikalini

NA WANDERI KAMAU KWA kawaida, hotuba ya Rais mara nyingi hurejelea masuala ya kitaifa na sera ambazo serikali yake imeweka ili kuboresha...

Watu ni kupambana na ‘githeri rasta’ Januari

NA LABAAN SHABAAN KILA msimu wanabiashara wa mikahawa huibuka na mbinu nyingi za kuandaa mapochopocho nafuu kwa wanachuo wanaotafuta...

AMINI USIAMINI: Ng’ombe huota kama amelala chini

NA PETER MWORIA WANASAYANSI wanaamini kwamba ng’ombe huchangia pakubwa katika mabadiliko ya tabianchi duniani. Ng’ombe mmoja...

Kusitishwa kwa ujenzi wa barabara ya Sh30bn kulivyozima matumaini ya wakulima

NA WANDERI KAMAU WAKATI Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alitangaza uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Mau Mau mnamo 2019, ilikuwa ni furaha...

Kuandaa kabeji uifurahie kama vile unavyofurahia nyama!

NA PAULINE ONGAJI Msimu wa sikukuu umekamilika kumaanisha kwamba uhalisi wa maisha umeanza kuwarejelea wengi. Mojawapo ya mambo ambayo...

GWIJI WA WIKI: Otieno Mjomba

NA CHRIS ADUNGO MBINU rahisi ya kuamsha ari ya kuthaminiwa kwa masomo miongoni mwa wanafunzi ni kuwaaminisha kwamba hakuna...

Eve Mungai achapa kazi akifunika tetesi za penzi kuingia mdudu

NA FRIDAH OKACHI 'YOUTUBER' Mungai Eve anaendelea kufanya kazi yake kama kawaida licha ya kuwekewa presha aeleze mambo wazi kuhusu uvumi...

Ruto hajakita mizizi kisawasawa serikalini – Joe Nyutu

NA MWANGI MUIRURI SENETA wa Murang’a Joe Nyutu amedadisi kwamba shida nyingi za serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William...