• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Matineja waliopata mimba za mapema Kanduyi waingia ukahaba na madereva wa malori

NA JESSE CHENGE Eneobunge la Kanduyi ndilo linaloongoza katika Kaunti ya Bungoma kwa mimba za matineja, ambazo zinawalazimisha baadhi...

Wanafunzi wa Kabarak wahofia huenda kifo cha mwenzao mikononi mwa polisi kikafunikwa

NA MERCY KOSKEI Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kabarak wanalilia haki baada ya mwanafunzi mwenzao kugongwa na gari la polisi alipokua...

Hamiliki nyumba wala shamba Nairobi, lakini anazalisha mboga kwa wingi na kuuzia wakazi

NA FRIDAH OKACHI WATU husema Nairobi ni shamba la mawe, na ili kujimudu kimaisha, ni sharti mtu anoe bongo na kutafuta mbinu za kumwezesha...

Mwanamke asimulia alivyoponyoka na wanawe mauti Shakahola mumewe akisalia ‘kuonana na Yesu’

FARHIYA HUSSEIN NA ALEX KALAMA MWANAMKE mmoja aliyenusurika kifo katika msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, amesimulia kilichojiri...

Seneta mwenye ulemavu wa macho asisimua kwa kuzindua albamu ya HipHop

NA FRIDAH OKACHI SENETA maalum Crystal Asige amezindua albamu mpya inayofahamika kama Blinding Allure, yenye nyimbo sita. Albamu hiyo...

Mfumo wa Agro Ikolojia kuboresha udongo

NA SAMMY WAWERU  AGRO Ikolojia, pia, Kilimo Ikolojia, ni mfumo wa zaraa endelevu unaolenga kuhakikisha matumizi ya pembejeo zenye...

Afafanua umuhimu wa kuzingatia kilimo asilia kwa kudumisha udongo

NA SAMMY WAWERU   KATIKA shamba la Sam Nderitu lililoko eneo la Muguga, Thika lina karibu kila mmea unaozalisha chakula.  Kuanzia...

Johana Chacha: Mwanahabari wa zamani akiri kuwa mateka wa pombe, akitumai mradi wa Pasta Dorcas Gachagua utamuokoa

NA FRIDAH OKACHI MWANAHABARI wa zamani wa kituo cha KTN na K24, Johana Chacha ni miongoni mwa walionufaika kupitia mpango wa kurekebisha...

Janga la mimba lalazimu wanaume wa Sabaot kukaidi mila na kukubali kuzungumzia ngono

NA JESSE CHENGE Ndani ya Kaunti ya Bungoma, katika eneo la Milima ya Elgon, wanaume kutoka Jamii ya Sabaot walikusanyika kwa mkutano...

Utaoshwa! Hisia mseto, wasiwasi kufuatia kuzinduliwa kwa apu inayobatilisha jumbe za Mpesa

NA MARY WANGARI UTAHITAJIKA kuwa makini zaidi iwapo wewe ni mfanyabiashara anayetumia mbinu za kielektroniki kupokea malipo kutoka kwa...

Raha ya mjane mchanga wa Kibor wakili akiambia korti anastahili donge alilomegewa kwenye urithi

TITUS OMINDE NA FRIDAH OKACHI Mahakama inayosikiza kesi kuhusu urithi wa mali ya zaidi ya Sh16 bilioni ya marehemu mkulima na...

Viwanda vya chai vyabaki pweke Murang’a wakulima wakiuza majani mabichi kwa pesa za haraka

KNA na SAMMY WAWERU BIASHARA ya kuchuuza majanichai mabichi maeneo yanayolimwa zao hilo katika Kaunti ya Murang’a imesababisha baadhi ya...