• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 6:50 AM

Waogeleaji 200 kutafuta ufanisi Kiambu kesho Jumamosi

Na GEOFFREY ANENE ZAIDI ya waogeleaji 200 wamethibitisha kushiriki mashindano ya kuogelea ya Shirikisho la Uogeleaji Kenya (KSF) tawi la...

Viongozi wahimizwa kupiga jeki wanamichezo

NA LAWRENCE ONGARO WANAMICHEZO katika Kaunti ya Kiambu wanatoa malalamiko wakisema kukosa ufadhili ni tishio kwa vipaji vyao. Haya...

Gor, Tusker na Homeboyz taabani kwa kukosa timu za wanawake

NA JOHN ASHIHUNDU MASHARTI magumu ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) huenda yakainyima Kenya fursa ya kuwakilishwa katika...

West Ham wakomoa Fiorentina na kufuzu kwa soka ya Europa League baada ya kushinda taji la Europa Conference League

Na MASHIRIKA WEST Ham United walikomesha ukame wa miaka 43 bila taji lolote la haiba kubwa kabatini mwao baada ya Jarrod Bowen...

Messi ateua kuhamia Amerika kuchezea Inter Miami licha ya ofa nono kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia

Na MASHIRIKA NGULI wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi, atajiunga na kikosi cha Inter Miami nchini Amerika baada ya kuagana na...

AFC Leopards yapokonya Mukangula na Thiong’o majukumu ya unahodha baada ya mgomo baridi

NA JOHN ASHIHUNDU KLABU ya AFC Leopards imewapokonya mamlaka manahodha wake Eugene Mukangula na Peter Thiong’o. Taarifa ya klabu...

Okutoyi kuongoza Team Kenya kwenye mashindano ya tenisi ya Billie Jean King Cup ugani Nairobi Club

Na GEOFFREY ANENE KENYA imezindua kikosi kitakachowania ubingwa wa mashindano ya tenisi ya Afrika ya Kundi la Tatu ya Billie Jean King...

Soka yahamia Uarabuni CR7, Benzema wakiendea mihela

Na CHRIS ADUNGO MASHABIKI wa soka wameanza kuhisi kwamba upo wakati ambapo Ligi Kuu ya Saudi Arabia itaanza kuwa kivutio kikubwa kama...

Jackson Mutiso ashinda Sh20 milioni za SportPesa Midweek Jackpot

Na CECIL ODONGO ILIKUWA furaha riboribo kwa Jackson Mutiso kutoka Athi River, Kaunti ya Machakos baada ya kushinda Sh20 milioni kwenye...

Kocha Beldine Odemba kuongoza Rising Starlets kwenye mashindano ya CECAFA

NA TOTO AREGE KOCHA wa timu ya taifa ya Kenya ya wanawake ya Rising Starlets ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 18 Beldine Odemba,...

Ulinzi Starlets walenga kutwaa taji la KWPL msimu ujao

NA TOTO AREGE KOCHA wa wanajeshi wa Ulinzi Starlets Joseph Mwanzia amepongeza warembo hao kwa kupiga Nakuru City Queens 3-1 katika...

Mary Moraa atarajiwa kuwa kivutio kwenye riadha za polisi

Na AYUMBA AYODI WANAMEDALI wa Jumuiya ya Madola Mary Moraa (mita 800), Beatrice Chebet (5000m) na Daniel Simiu (10000m) watakuwa vivutio...